Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Kuna watu huwa ni wakatili sana na kuna wamama huwa hawapend kuona bek 3 hata kapumzika,atamwambia hata asafishe majani ya maua
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
So wife wako naye anaenda ofisini? Sasa atafanyaje kazi za nyumbani na ofisini?!
 
Mke ni mama wa nyumban bado unamletea house girl?? Hapo sijaelewa ni mgonjwa au anaulemavu au Kuna watoto wadogo wanaomfanya apate msaada??
Wanaume mnaoa Ili mpate wasaidizi ndan Ili mkahangaike kutafuta kula na mambo mengine Sasa unaoa halafu unaajili mtu aje asaidie Tena kazi ndani hata kama mke anafanya kazi ni wajibu wake kuhakikisha kazi za ndan na majukumu ya mume anafanya yeye nyie mnaendekeza ujinga sijui huruma sijui mnawaogopa wake zenu ona Sasa mke hawez hata kukuletea maji ya kunywa 😳😳 mpaka msichana alete
Cheap labour inafanya familia nyingi za bongo ziajiri wadada wa kazi bila umuhimu wowote. Muda ambao unaweza kufikiria kuwa na mtu wa kukusaidia ni wakati mtoto bado mchanga. Mara nyingi kama wanakwenda shuleni hakuna haja ya msaidizi. Mume na mke mnaweza kabisa kufanya kazi za nyumbani kwa kusaidiana. Mbona Ulaya familia nyingi hazina house girls?
 
Habari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.

Kiukweli mimi house girl nilimkubali kutokana na uchapa kazi na hela ya kumlipa sitoi kwa kinyongo, tatizo tu ni wife sometimes anachapa usingizi hata mpaka saa 4 na akiamka nikiwa nashida na chai house girl ndio anaambiwa anitengee, sometimes wife akikaa kwenye sofa nikumtuma hata kwa kitu anachoweza kukifanya yeye, jaman tuwe na imani na ma house girl sometimes wanachoka sio kisa tu unamlipa hicho ki 50000 hata kama katokea maisha magum hakupenda.

Wengine huwa hawatimizi majukumu ila huyu wa hapa home anachapa kazi ila sasa dah! Wanawake wakipata ma house girl ni hatari sijui hufikiria ni mke mwenza ihari wanaume wengne hatuko hvyo.

Tuwachukulie ma house girl kama ndugu zetu ni shida tu, sasa sijui wife anazingua?
Unaogopa kumueleza ukweli mke wako unakuja kulialia mtandaoni.

Sasa mke ni wa nini kama house girl anaweza kukufanyia kila kitu?
 
Habari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.

Kiukweli mimi house girl nilimkubali kutokana na uchapa kazi na hela ya kumlipa sitoi kwa kinyongo, tatizo tu ni wife sometimes anachapa usingizi hata mpaka saa 4 na akiamka nikiwa nashida na chai house girl ndio anaambiwa anitengee, sometimes wife akikaa kwenye sofa nikumtuma hata kwa kitu anachoweza kukifanya yeye, jaman tuwe na imani na ma house girl sometimes wanachoka sio kisa tu unamlipa hicho ki 50000 hata kama katokea maisha magum hakupenda.

Wengine huwa hawatimizi majukumu ila huyu wa hapa home anachapa kazi ila sasa dah! Wanawake wakipata ma house girl ni hatari sijui hufikiria ni mke mwenza ihari wanaume wengne hatuko hvyo.

Tuwachukulie ma house girl kama ndugu zetu ni shida tu, sasa sijui wife anazingua?
Kama Swala dogo tu la kuongea na kumuamuru mkeo likarekebishika, within 24 hrs! unalileta humu!

Kwa sisi watu wa Mara, tunaweza kusema...."Hujafikia level ya kuitwa Mwanaume" ama kichwa cha familia.!

Bado akili yako inaendeshwa na kichwa cha chini!
 
Maisha ndoa\mahusiano kwangu siyataki, katika maisha mpaka ile siku ntakufa.Kama mnakataa ushoga na usagaji,hata ndoa ipigwe marufuku maana ni maisha taabu na chuki.Ukiishi single utaish miaka mingi ila mahusiano utakufa mapema juu ya stress.Ila mie cshauri usiwe kwenye mahusiano au ndoa,nipendekezo la mtu kivyake.Ila mahusiano au ndoa mimi siyataki bora niwe mseja,kwa maana hayo maisha n magumu.
Ukizikimbia changamoto za maisha basi wewe ni mfu ungali hai.
 
Back
Top Bottom