mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Hilo linawezekana.unampa 50 yake mbele ya mke.nyingine unampa Kwa kificho kwani atamwambia?Huwezi mpa mfanyakazi nyongeza mke asijue. Kimsingi mambo ya house girl ni ya Maza house

Wanawake wa tanganyika siyo wa kuwekea house girlHabari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.
Kiukweli mimi house girl nilimkubali kutokana na uchapa kazi na hela ya kumlipa sitoi kwa kinyongo, tatizo tu ni wife sometimes anachapa usingizi hata mpaka saa 4 na akiamka nikiwa nashida na chai house girl ndio anaambiwa anitengee, sometimes wife akikaa kwenye sofa nikumtuma hata kwa kitu anachoweza kukifanya yeye, jaman tuwe na imani na ma house girl sometimes wanachoka sio kisa tu unamlipa hicho ki 50000 hata kama katokea maisha magum hakupenda.
Wengine huwa hawatimizi majukumu ila huyu wa hapa home anachapa kazi ila sasa dah! Wanawake wakipata ma house girl ni hatari sijui hufikiria ni mke mwenza ihari wanaume wengne hatuko hvyo.
Tuwachukulie ma house girl kama ndugu zetu ni shida tu, sasa sijui wife anazingua?
Ndo vzr, amtimue ili afanye kaxi mwenyeweAjaribu aone kilichomtoa kanga madoa! Huyo dada atatimuliwa haraka chap
Mpandishe cheo mkeo mkuu. Utanishukuru baadaeHabari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.
Kiukweli mimi house girl nilimkubali kutokana na uchapa kazi na hela ya kumlipa sitoi kwa kinyongo, tatizo tu ni wife sometimes anachapa usingizi hata mpaka saa 4 na akiamka nikiwa nashida na chai house girl ndio anaambiwa anitengee, sometimes wife akikaa kwenye sofa nikumtuma hata kwa kitu anachoweza kukifanya yeye, jaman tuwe na imani na ma house girl sometimes wanachoka sio kisa tu unamlipa hicho ki 50000 hata kama katokea maisha magum hakupenda.
Wengine huwa hawatimizi majukumu ila huyu wa hapa home anachapa kazi ila sasa dah! Wanawake wakipata ma house girl ni hatari sijui hufikiria ni mke mwenza ihari wanaume wengne hatuko hvyo.
Tuwachukulie ma house girl kama ndugu zetu ni shida tu, sasa sijui wife anazingua?
NakaziaKama analala mpaka saa 4 huyo ni mama wa nyumbani. Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kuweka h/girl?
MleHabari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.
Kiukweli mimi house girl nilimkubali kutokana na uchapa kazi na hela ya kumlipa sitoi kwa kinyongo, tatizo tu ni wife sometimes anachapa usingizi hata mpaka saa 4 na akiamka nikiwa nashida na chai house girl ndio anaambiwa anitengee, sometimes wife akikaa kwenye sofa nikumtuma hata kwa kitu anachoweza kukifanya yeye, jaman tuwe na imani na ma house girl sometimes wanachoka sio kisa tu unamlipa hicho ki 50000 hata kama katokea maisha magum hakupenda.
Wengine huwa hawatimizi majukumu ila huyu wa hapa home anachapa kazi ila sasa dah! Wanawake wakipata ma house girl ni hatari sijui hufikiria ni mke mwenza ihari wanaume wengne hatuko hvyo.
Tuwachukulie ma house girl kama ndugu zetu ni shida tu, sasa sijui wife anazingua?
Amle binti wa miaka 16 ? Too young to be eaten
Sweet 16 tayari mdau...😛😝😜🤪Amle binti wa miaka 16 ? Too young to be eaten
Mimi miaka 16 nilikuwa kidato cha nne, nilikuwa nina uwezo wa kufua vizuri, kunyoosha nguo, kuweka sawa mazingira yangu ya ndani na ya nje.Miaka 16 mbona dogo sana,ni umri wa mdogo wangu AmBAR hata kufua nguo vizuri hawezi[emoji119]
Halafu nishasemaga sitoweza kujilaza halafu mtu anifanyie KAZI zangu,
Mkeo mvivu,mtu mvivu ni mchafu.
Miaka 16 sio wa kupewa majukumu yote,ukute kufua anafua nguo za family yote,,hii hapana,,,Mimi miaka 16 nilikuwa kidato cha nne, nilikuwa nina uwezo wa kufua vizuri, kunyoosha nguo, kuweka sawa mazingira yangu ya ndani na ya nje.
Miaka 16 ni dogo ila sio kwa kiasi cha kufikia kushindwa kuzingatia usafi wa mwili wake
Unataka kusemaje kwani...????