Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Wanawake wa tanganyika siyo wa kuwekea house girl
 
Mke ni mama wa nyumban bado unamletea house girl?? Hapo sijaelewa ni mgonjwa au anaulemavu au Kuna watoto wadogo wanaomfanya apate msaada??
Wanaume mnaoa Ili mpate wasaidizi ndan Ili mkahangaike kutafuta kula na mambo mengine Sasa unaoa halafu unaajili mtu aje asaidie Tena kazi ndani hata kama mke anafanya kazi ni wajibu wake kuhakikisha kazi za ndan na majukumu ya mume anafanya yeye nyie mnaendekeza ujinga sijui huruma sijui mnawaogopa wake zenu ona Sasa mke hawez hata kukuletea maji ya kunywa 😳😳 mpaka msichana alete
 
Mkomeshe, mpige ishu hausigeli ili huyo mkeo ashike adabu. Ni mvivu katika kutimiza majukumu yake ya kindoa kama mama mwenye kaya
 
Maisha ndoa\mahusiano kwangu siyataki, katika maisha mpaka ile siku ntakufa.Kama mnakataa ushoga na usagaji,hata ndoa ipigwe marufuku maana ni maisha taabu na chuki.Ukiishi single utaish miaka mingi ila mahusiano utakufa mapema juu ya stress.Ila mie cshauri usiwe kwenye mahusiano au ndoa,nipendekezo la mtu kivyake.Ila mahusiano au ndoa mimi siyataki bora niwe mseja,kwa maana hayo maisha n magumu.
 
Mpandishe cheo mkeo mkuu. Utanishukuru baadae
 
Mle
 
Anafanya hivyo kutokana na udhaifu wa mumewe na bado wewe kaja kulalamika Tumpe ushauri
 
Miaka 16 mbona dogo sana,ni umri wa mdogo wangu AmBAR hata kufua nguo vizuri hawezi[emoji119]

Halafu nishasemaga sitoweza kujilaza halafu mtu anifanyie KAZI zangu,

Mkeo mvivu,mtu mvivu ni mchafu.
Mimi miaka 16 nilikuwa kidato cha nne, nilikuwa nina uwezo wa kufua vizuri, kunyoosha nguo, kuweka sawa mazingira yangu ya ndani na ya nje.

Miaka 16 ni dogo ila sio kwa kiasi cha kufikia kushindwa kuzingatia usafi wa mwili wake
 
Mimi miaka 16 nilikuwa kidato cha nne, nilikuwa nina uwezo wa kufua vizuri, kunyoosha nguo, kuweka sawa mazingira yangu ya ndani na ya nje.

Miaka 16 ni dogo ila sio kwa kiasi cha kufikia kushindwa kuzingatia usafi wa mwili wake
Miaka 16 sio wa kupewa majukumu yote,ukute kufua anafua nguo za family yote,,hii hapana,,,

Kuna rafiki yangu alimwambia mumewe kuwa anataka binti wa KAZI kama wa rafiki yake,hicho kibinti ni kidogo,,,mumewe akamuuliza kama huyo binti angekuwa mwanao ungeridhika mwanao kufanyishwa KAZI?? Akamwambia kama unataka wa umri huo mchukue then mpeleke shule lkn sio kuja kumfanyisha KAZI,,,

Halafu hii ya kuweka wadada wa KAZI vitoto watu wa bara wanapenda kweli,udhulumati TU kuwalipa hiyo elfu 50000,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…