Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Kuna watu huwa ni wakatili sana na kuna wamama huwa hawapend kuona bek 3 hata kapumzika,atamwambia hata asafishe majani ya maua
 
Reactions: Cyb
Umechukua hatua gani, we unashindwq kuongea na mkeo?
 
So wife wako naye anaenda ofisini? Sasa atafanyaje kazi za nyumbani na ofisini?!
 
Cheap labour inafanya familia nyingi za bongo ziajiri wadada wa kazi bila umuhimu wowote. Muda ambao unaweza kufikiria kuwa na mtu wa kukusaidia ni wakati mtoto bado mchanga. Mara nyingi kama wanakwenda shuleni hakuna haja ya msaidizi. Mume na mke mnaweza kabisa kufanya kazi za nyumbani kwa kusaidiana. Mbona Ulaya familia nyingi hazina house girls?
 
Unaogopa kumueleza ukweli mke wako unakuja kulialia mtandaoni.

Sasa mke ni wa nini kama house girl anaweza kukufanyia kila kitu?
 
Kama Swala dogo tu la kuongea na kumuamuru mkeo likarekebishika, within 24 hrs! unalileta humu!

Kwa sisi watu wa Mara, tunaweza kusema...."Hujafikia level ya kuitwa Mwanaume" ama kichwa cha familia.!

Bado akili yako inaendeshwa na kichwa cha chini!
 
Ukizikimbia changamoto za maisha basi wewe ni mfu ungali hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…