Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda.

Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye mtoto wa chini ya miaka 10 kwa ile style ya SOGEA TUISHI.. ni mwezi kama wa 4 tangu tuanze kuishi pamoja. Alikuja na mwanae ila baadae akaongezeka mtoto mwingine wa kaka yake. Kwa sasa nyumba ina watu wanne. Binafsi sikuwa na tatizo lolote tangu mwanzo kwa sababu nyumba ninayoishi ni kubwa ya kutosheleza.

Bado hatujafanya utambulisho rasmi ila tayari familia zetu zinafahamu tumekuwa wapenzi wa zaidi ya mwaka na tayari tumeanza kuishi pamoja. Siku za hivi karibuni akaanza kusisitiza sana nianze mchakato wa kumuoa. Nikamjibu sawa ila anipe muda kidogo maana kwa sasa kuna mambo ya kikazi yamekaa vibaya mno kiasi kwamba uchumu umeyumba hatari. Wakati ninafikiria labda mwenzangu kashaelewa ghafla wiki moja iliyopita akaibuka kwa msisitizo zaidi nimtambulishe rasmi kwetu na kutuma mshenga.

Nilimjibu kama nilivyomjibu mwanzo na kumwambia kama hataki kunielewa achukue uamuzi wa kurudi kwao kwanza au ikimpendeza hata kujitoa kwenye uhusiano ni sawa tu. Binti alilia sana na kunitupia lawama nikambembeleza tukafanya tendo kisha tukalala. Nikajua kesi imeisha maana mechi ilikuwa ya kiwango cha juu.

Cha kushangaza akaanza utaratibu wa kulala kwenye kochi sebuleni na kuhamisha nguo zake zote kwenye chumba cha watoto. Pia kaanza kutumia public toilet & bathroom. Nguo anabadilishia chumba cha watoto. Siku ya kwanza nilimuuliza kwanini unalala kwenye kochi akajibu mwili wake unauma hivyo kochi lipo sawa kwake.

Kiukweli naona kama nachezewa akili na ninataka nimwambie aondoke na atarudi nikikamilisha utaratibu nyumbani kwao. Ninahisi kubaguliwa ndani ya nyumba yangu.

Ninaamini hapa JF nitapata ushauri ulionyooka. Tafadhalini mnishauri kama kumwondoa hapa ni sawa au sio sawa.
 
We mwondoe tu, akikufaa acha alale ata store akili ikimjia atakuwa sawa tu ila usijumuishe single mamaz wote na hilo tahira mandazi lako!
Huyo sio tahira sema kuna kitu jamaa hajasema chanzo halisi sio hicho alichokiandika kuna chanzo kingine, utajuaje labda alimfira na binti hataki kufirwa tena ndio maana amehama room kujiepusha na kifiro, did you ask yourself about that? Didn't you?
 
Huyo sio tahira sema kuna kitu jamaa hajasema chanzo halisi sio hicho alichokiandika kuna chanzo kingine, utajuaje labda alimfira na binti hataki kufirwa tena ndio maana amehama room kujiepusha na kifiro, did you ask yourself about that? Didn't you?
Me?? Hapana kwakweli! Kanishngaza kudai ndoa, mwanamume wake ndio alipaswa kuona huyo mwanamke wake anafaa kuwa mke wa ndoa, na si vinginevyo! Kudai ndoa ni kama kuforce mtu akuoe hivi..
 
Mleta uzi una akili za kipumbavu kama wafuasi wa Lissu. Wewe unamchukua mtoto wa watu na kuishi naye kihuni halafu unaona anakosea kudai mfuate utaratibu? Pumbavu sana. Kama hutaki kufuata utaratibu mrudishe kwao kwanza.
 
Me?? Hapana kwakweli! Kanishngaza kudai ndoa, mwanamume wake ndio alipaswa kuona huyo mwanamke wake anafaa kuwa mke wa ndoa, na si vinginevyo! Kudai ndoa ni kama kuforce mtu akuoe hivi..
Ni haki yake huyo mwanamke kudai police na mahakama wawe macho kwenye mahusiano yao , lolote likitokea apate ulinzi kisheria.
 
Hiyo ni red flag,Mungu ameamua kukuonyesha mapema,huyo ana kiburi na atakusumbua sana huko mbeleni,

Anaonekana kulazimisha ndoa coz kuna kitu amekilenga ukisha jiingiza tu kwenye ndoa utaona kila rangi,

Hapo anakupiga pressure ili ndoa ifanyike apate fursa ya kutimiza lengo lake,

To be honest hapo hakuna mke mkuu,utakuja kuteseka na kujuta sana,

Achana na huyo Mwanamke kwa mustakbali wa afya yako na mali zako,

Huu ni ushauri wangu kwako based on experience But the rest it's up to you.
 
Back
Top Bottom