Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Mleta uzi una akili za kipumbavu kama wafuasi wa Lissu. Wewe unamchukua mtoto wa watu na kuishi naye kihuni halafu unaona anakosea kudai mfuate utaratibu? Pumbavu sana. Kama hutaki kufuata utaratibu mrudishe kwao kwanza.
Ni haki ya mwanamke kudai ndoa 100% ni mpumbavu tu ndo ataona sawa kugongwa kila siku bila kuolewa.
 
Ni haki yake huyo mwanamke kudai police na mahakama wawe macho kwenye mahusiano yao , lolote likitokea apate ulinzi kisheria.
Hii haki alitakiwa aidai kabla hata hajaishi na jamaa,jamaa kasombewa familia humo ndani kisha anapigwa pressure ya ndoa,akioa kwa kufuata hiyo pressure,kijana tutampoteza mapema sana.
 
Utakubari kila siku mtu anakutomba anakufira na hakuoi? Wewe upo tayari kufanywa hivyo? Kisa tu unaishi kwenye nyumba yake does that make sense to you? Get on her shoes someone fack your ass each and everyday and yet he didn't give you a wedding ring, does that make you happier?
Mimi sijui waulize hao wanawake wanaotendewa huo ufirauni
 
Hiyo ni red flag,Mungu ameamua kukuonyesha mapema,huyo ana kiburi na atakusumbua sana huko mbeleni,

Anaonekana kulazimisha ndoa coz kuna kitu amekilenga ukisha jiingiza tu kwenye ndoa utaona kila rangi,

Hapo anakupiga pressure ili ndoa ifanyike apate fursa ya kutimiza lengo lake,

To be honest hapo hakuna mke mkuu,utakuja kuteseka na kujuta sana,

Achana na huyo Mwanamke kwa mustakbali wa afya yako na mali zako,

Huu ni ushauri wangu kwako based on experience But the rest it's up to you.
Asante sana mkuu. Nitafuata huu ushauri.
 
Hii haki alitakiwa aidai kabla hata hajaishi na jamaa,jamaa kasombewa familia humo ndani kisha anapigwa pressure ya ndoa,akioa kwa kufuata hiyo pressure,kijana tutampoteza mapema sana.
Bwashee upo sahihi kabisa , ila mimi naona huyo mwanamke sio mjinga mpaka adai ndoa , kwa nini jamaa anagoma? , na anaona njia ya kumtuliza ni kula mzigo ?

Binafsi naona mwamba kuna namna anataka kupoteza bure mda wa huyo dada.
 
Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda.

Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye mtoto wa chini ya miaka 10 kwa ile style ya SOGEA TUISHI.. ni mwezi kama wa 4 tangu tuanze kuishi pamoja. Alikuja na mwanae ila baadae akaongezeka mtoto mwingine wa kaka yake. Kwa sasa nyumba ina watu wanne. Binafsi sikuwa na tatizo lolote tangu mwanzo kwa sababu nyumba ninayoishi ni kubwa ya kutosheleza.

Bado hatujafanya utambulisho rasmi ila tayari familia zetu zinafahamu tumekuwa wapenzi wa zaidi ya mwaka na tayari tumeanza kuishi pamoja. Siku za hivi karibuni akaanza kusisitiza sana nianze mchakato wa kumuoa. Nikamjibu sawa ila anipe muda kidogo maana kwa sasa kuna mambo ya kikazi yamekaa vibaya mno kiasi kwamba uchumu umeyumba hatari. Wakati ninafikiria labda mwenzangu kashaelewa ghafla wiki moja iliyopita akaibuka kwa msisitizo zaidi nimtambulishe rasmi kwetu na kutuma mshenga.

Nilimjibu kama nilivyomjibu mwanzo na kumwambia kama hataki kunielewa achukue uamuzi wa kurudi kwao kwanza au ikimpendeza hata kujitoa kwenye uhusiano ni sawa tu. Binti alilia sana na kunitupia lawama nikambembeleza tukafanya tendo kisha tukalala. Nikajua kesi imeisha maana mechi ilikuwa ya kiwango cha juu.

Cha kushangaza akaanza utaratibu wa kulala kwenye kochi sebuleni na kuhamisha nguo zake zote kwenye chumba cha watoto. Pia kaanza kutumia public toilet & bathroom. Nguo anabadilishia chumba cha watoto. Siku ya kwanza nilimuuliza kwanini unalala kwenye kochi akajibu mwili wake unauma hivyo kochi lipo sawa kwake.

Kiukweli naona kama nachezewa akili na ninataka nimwambie aondoke na atarudi nikikamilisha utaratibu nyumbani kwao. Ninahisi kubaguliwa ndani ya nyumba yangu.

Ninaamini hapa JF nitapata ushauri ulionyooka. Tafadhalini mnishauri kama kumwondoa hapa ni sawa au sio sawa.
Huyo mwambie aende kwanza nyumbani kwao apata akili
 
Kuishi bila ndoa ni kawaida tu, kama ni kuzingua wote walizingua , hapo huyo dada sio mjinga mpaka akaweka vikwanzo
Ni kawaida kwa sababu tumeshazoea hivyo, lakini ukiwa ndoani utajikinga na zile fikra za sijui kesho ntaambiwa niondoke, unakuwa uncertain na insecured! Huyo dada wala hakupaswa kutumia vikwazo vya namna hiyo ili aolewe!
 
Bwashee upo sahihi kabisa , ila mimi naona huyo mwanamke sio mjinga mpaka adai ndoa , kwa nini jamaa anagoma? , na anaona njia ya kumtuliza ni kula mzigo ?

Binafsi naona mwamba kuna namna anataka kupoteza bure mda wa huyo dada.
Bwashee unajua siri ipo hapo huyo Mwanamke aliposomba hao ndugu zake na kuwaleta humo ndani kwa jamaa,hii ni signal kubwa sana,

Kama kweli ameona hakuna ndoa basi angeondoka kabisa humo ndani badala tu ya kuhama chumba.
 
Ni kawaida kwa sababu tumeshazoea hivyo, lakini ukiwa ndoani utajikinga na zile fikra za sijui kesho ntaambiwa niondoke, unakuwa uncertain na insecured! Huyo dada wala hakupaswa kutumia vikwazo vya namna hiyo ili aolewe!
Kusubiria ndoa kabla ya kuishi pamoja ni kamari ya kijinga sana , kwa dunia ya sasa , wakati wewe unasubiria nnje kuna wengine wapo tayari ndani .

Japo mimi siungi mkono wadada mnavyo zitetemekea ndoa .
 
Mrudishe nyumbani kwao then fuata taratibu za uchumba hadi ndoa.

Anachofanya ni shinikizo, hii ni hatari kwako. Ndoa haidaiwi hata siku moja. Anakushinikiza umuoe, unamuweka kila siku bila ridhaa ya pande mbili, ila pia shinikizo hilo linaweza kuwa hatari kwako hasa baada ya kuvalishana pete, be watchful.

Ndoa zimekuwa ngumu sana kwa wadada, hasa waliozaa kabla.
 
Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda.

Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye mtoto wa chini ya miaka 10 kwa ile style ya SOGEA TUISHI.. ni mwezi kama wa 4 tangu tuanze kuishi pamoja. Alikuja na mwanae ila baadae akaongezeka mtoto mwingine wa kaka yake. Kwa sasa nyumba ina watu wanne. Binafsi sikuwa na tatizo lolote tangu mwanzo kwa sababu nyumba ninayoishi ni kubwa ya kutosheleza.

Bado hatujafanya utambulisho rasmi ila tayari familia zetu zinafahamu tumekuwa wapenzi wa zaidi ya mwaka na tayari tumeanza kuishi pamoja. Siku za hivi karibuni akaanza kusisitiza sana nianze mchakato wa kumuoa. Nikamjibu sawa ila anipe muda kidogo maana kwa sasa kuna mambo ya kikazi yamekaa vibaya mno kiasi kwamba uchumu umeyumba hatari. Wakati ninafikiria labda mwenzangu kashaelewa ghafla wiki moja iliyopita akaibuka kwa msisitizo zaidi nimtambulishe rasmi kwetu na kutuma mshenga.

Nilimjibu kama nilivyomjibu mwanzo na kumwambia kama hataki kunielewa achukue uamuzi wa kurudi kwao kwanza au ikimpendeza hata kujitoa kwenye uhusiano ni sawa tu. Binti alilia sana na kunitupia lawama nikambembeleza tukafanya tendo kisha tukalala. Nikajua kesi imeisha maana mechi ilikuwa ya kiwango cha juu.

Cha kushangaza akaanza utaratibu wa kulala kwenye kochi sebuleni na kuhamisha nguo zake zote kwenye chumba cha watoto. Pia kaanza kutumia public toilet & bathroom. Nguo anabadilishia chumba cha watoto. Siku ya kwanza nilimuuliza kwanini unalala kwenye kochi akajibu mwili wake unauma hivyo kochi lipo sawa kwake.

Kiukweli naona kama nachezewa akili na ninataka nimwambie aondoke na atarudi nikikamilisha utaratibu nyumbani kwao. Ninahisi kubaguliwa ndani ya nyumba yangu.

Ninaamini hapa JF nitapata ushauri ulionyooka. Tafadhalini mnishauri kama kumwondoa hapa ni sawa au sio sawa.
Don't ignore Red Flags mkuu. Every single mom has a reason to why she is a single mother.
 
Bwashee unajua siri ipo hapo huyo Mwanamke aliposomba hao ndugu zake na kuwaleta humo ndani kwa jamaa,hii ni signal kubwa sana,

Kama kweli ameona hakuna ndoa basi angeondoka kabisa humo ndani badala tu ya kuhama chumba.
Ila bwashee mpaka dada asombe ndugu zake kwa jamaa , jamaa alikua wapi kama hataki .?

Binafsi naona huyo jamaa hana maamuzi na huyo mwanamke ameshamsoma vizuri sana ...

Kama vipi aachane na huyo dada akatafute mwanamke anae mzidi akili na maarifa , binafsi naona huyo dada yupo mbele ya akili ya jamaa.
 
Daah wasizwa bhana yaani huataki kwenda kujitambulisha kwao na kulipa mahari hata kama nyingine watakudai ila uwe unaenda sawa na matakwa ya kijamii..
Msiwachukulie poa wanawake wapeni heshima yao maana mwanzoni mnaingia na uwongo mwingi baadae hamtaki kutekeleza ndio maana anatumia mbinu mbadala.
 
Mimi sijui waulize hao wanawake wanaotendewa huo ufirauni
No tunarudi pale uliposema ni tahira nikakwambia sio tahira ila anadai haki, kuolewa ni haki yake km wamekubariana hivyo na sio kugongwa tu na kuolewa huolewi mwisho jamaa akikuchoka anakwambia beba mtoto wako uende, where the fack is that shit coming from?
 
Back
Top Bottom