Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Kama huyo mwanamke alikuwa siriasi sans na kuolewa asingekubali kusogezwa waishi pamoja . Kama ameshakubali na hakika akubali kuliwa. Kuhama chumba ni kukiuka makubaliano ya lengo la soges tuishi . MASEMA HIVI FUKUZA HIO TUMBILI
Mwanamke sio gari kwamba unauza hili unachukua lingine Ilala na pia ukiona upo kwenye hiyo dhana ya fukuza chukua ingine jua haupo sawa jiangalie vizuri wewe au ulikotoka watu waliofunzwa hawawezi kuwa na mawazo kama yako..
 
Hio ni kesi nyingine yaan ndani ya folder hii umefungulia file mpya kwa hio sio ya kupuuzwa labda kuna foleni nyingine imeanza kwa hio unatakiwa ukae mguu sawa anytime anything can happen usije ukaishia kulia km yule Chalii wa Arusha aliekimbiwa na mkewe
Ofcourse hapo ni game of Chance, upande ule anatamanishwa ndoa na huku alipo anaambiwa asuburie mambo hayajakaa sawa😂!

Mwekezaji mpya anaonekana yupo serious sana anataka afungashiwe kabisa akaile kwa uhuru na ndio maana imebidi ili utamu usipunguzwe ladha basi imepitishwa sanction ya #nofreepumbu kwa mlalamikaji ambaye hadi sasa haelewi kwanini amepigwa ban hadi aoe!
 
Yaan wanachanganya tabia za mtu na hiyo single maza hebu aoe ambaye sio halafu tuone kama atakua malaika
Wanajazana ujinga sana hawa, mwingine anadanganya wadogo zake humu kila siku waoe bikra hawatakutana na haya matatizo hawajui kila mtu kaanzia huko mpaka kufika huku! Tabia za mtu hazihusiani na physicality yake! Watambue tu ata single mamaz wanaojielewa ni wengi kuzidi..
 
Sasa tabia za mtu zinahusikaje na kua single maza?? Ila watu mnajua kubeba mkumbo halafu bro swala la watu kutengana vyumba kulala tofaut Hilo sio ww tu hata humu Kuna watu wanapitia hayo ila wamejaza kwenye vifua

Single maza anakua msumbufu endapo anawasiliana na mzaz mwenzake hayo mengine unayoyataja ni tabia za mtu na hatujui kimetokea nin ila kwasababu ww umekimbilia huku kulialia acha usikilizwe
We huoni single mama anashinikiza ndoa kwa udi na uvumba? Ameamua kutumia kipapa(kumnyima mwamba utam) ili jamaa aharakishe mambo, its kind of blackmailing...ni kama anamwambia usipokwenda kwetu hata utam sikupi.

Basi kama utam hunipi na kwangu uondoke, as simple as that!!
 
Kwahiyo asingekuwa single mama asingeforce hiyo ndoa?
 
Futa huu uzi haraka maana utatukanwa sana, yani jitu limeshazalishwa wewe unabeba, haitoshi na mtoto wa kaka yake nae kakujazia hapo (halafu nawewe unajisifu eti NYUMBA KUBWA HAMNA SHIDA)

WEWE NI KIAZI ACHANA NA HUYO MWANAMKE MARAMOJA AMBAO HAWAJAZAA WAPO WENGI SANA
 
"Singo maza" huwa wanapigana wasirudie makosa ya kuzaa nje ya ndoa na matokea wanafanya tena grave mistakes!!😁

Mimi nilikuwa naulizwa kila siku ni lini naenda kwao kujitambulisha mpaka ikawa kero nikamwambia," nisikucheleweshe sana bibie mlango upo wazi".
 
Mpe mmoja
 
Sasa tabia za mtu zinahusikaje na kua single maza?? Ila watu mnajua kubeba mkumbo halafu bro swala la watu kutengana vyumba kulala tofaut Hilo sio ww tu hata humu Kuna watu wanapitia hayo ila wamejaza kwenye vifua

Single maza anakua msumbufu endapo anawasiliana na mzaz mwenzake hayo mengine unayoyataja ni tabia za mtu na hatujui kimetokea nin ila kwasababu ww umekimbilia huku kulialia acha usikilizwe
A Single Mama detected..
 
"Singo maza" huwa wanapigana wasirudie makosa ya kuzaa nje ya ndoa na matokea wanafanya tena grave mistakes!!😁

Mimi nilikuwa naulizwa kila siku ni lini naenda kwao kujitambulisha mpaka ikawa kero nikamwambia," nisikucheleweshe sana bibie mlango upo wazi".
Hivi min -me unaenda kujitambulisha lini? Kila siku nauliza au ndio usinicheleweshe😂
 
Kusubiria ndoa kabla ya kuishi pamoja ni kamari ya kijinga sana , kwa dunia ya sasa , wakati wewe unasubiria nnje kuna wengine wapo tayari ndani .

Japo mimi siungi mkono wadada mnavyo zitetemekea ndoa .
wanajitolea ili fulsa ikitokea wawe kipaombele. Haijakaa sawa
 
Back
Top Bottom