Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Timua haraka mkuu akiendelea kubakii hapo anaweza hata kukulowekea vyupi kwenye msosi akugeuze zezeta.
 
Sitasema chochote hadi huyo unayemwita mpenzi wako atakapojitetea (atakapoleta Uzi wake humu).

That's how I always work.

adriz de mbusii.
 
Ninyi si mnakaza mafuvu. Suala la single mother limesha ongelewa sana humu.

Lakini bado mnakaza mafuvu.

If you don't learn the soft way, you will learn the hard way.
 
Ninyi si mnakaza mafuvu. Suala la single mother limesha ongelewa sana humu.

Lakini bado mnakaza mafuvu.

If you don't learn the soft way, you will learn the hard way.
Kusikia kwa kenge mpaka damu itoke masikioni.
 
Back
Top Bottom