min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha bi mkubwa atakuchungulia kwenye miwani shauri yako😅Kwenye ulozi
Hahaha bi mkubwa atakuchungulia kwenye miwani shauri yako😅Kwenye ulozi
Kwani kuna shida kuwa addressed as a single mom!Inabadilisha nini?
Hujamwelewa huyo dada kamsome btn the linesKwani kuna shida kuwa addressed as a single mom!
Mtu kweli ni single mom/dad, kwa muktadha wa mada huyu hawezi kukwepa hiyo title.
No regrets, ni kuishi na kufurahia tu!!
Amesema tabia na usingo mama havina uhusiano.Hujamwelewa huyo dada kamsome btn the lines
Ukitumia mihemuko humu utapotea watu wanajua kucheza na akili za watu Sasa wengine wanaona Kila kinachoongelewa humu ni Cha kweli Sasa wacha wajaribuWanajazana ujinga sana hawa, mwingine anafanganya wadogo zake humu kila siku waoe bikra hawatakutana na haya matatizo hawajui kila mtu kaanzia huko mpaka kufika huku! Tabia za mtu hazihusiani na physicality yake! Watambue tu ata single mamaz wanaojielewa ni wengi kuzidi..
Kwann alimruhusu huyo mwanamke waish naye??We huoni single mama anashinikiza ndoa kwa udi na uvumba? Ameamua kutumia kipapa(kumnyima mwamba utam) ili jamaa aharakishe mambo, its kind of blackmailing...ni kama anamwambia usipokwenda kwetu hata utam sikupi.
Basi kama utam hunipi na kwangu uondoke, as simple as that!!
Binafsi hainisumbui, tunajaribu kuwaelekeza wavulana kuwa singo maza sio ulemavu! Huyo dada hajajielezea hata sehemu yoyote kama ni singo maza na ndio maana unaishia kuhisi tu! Amesema tabia ya mtu haina uhusiano wowte ule na kuwa na mtoto!Amesema tabia na usingo mama havina uhusiano.
Nami sipo kwenye tabia wala usingo mama, nipo kwenye tamanio lake na identity yake.
Kwanini mnakuwa offended mkiitwa hivyo, kwani ni uongo kwamba mtu kazalishwa na kuachwa hapo?
Ifikie wakati muone ni kawaida tu, kila mtu kwenye ukuaji wake kuna makosa amefanya, bahati mbaya mengine hayafutiki.
Kwenye kucheza na akili wapo vizuri mkuu🙌🏾Ukitumia mihemuko humu utapotea watu wanajua kucheza na akili za watu Sasa wengine wanaona Kila kinachoongelewa humu ni Cha kweli Sasa wacha wajaribu
Are u sure bro??🤔A Single Mama detected..
Na mimi sijamsema yeye personally, au nionyeshe wapi nimesema nakwede97 ni single mama, mbona umebeba bango kuuubwa wakati tunaongea vitu petty tu😅😅Binafsi hainisumbui, tunajaribu kuwaelekeza wavulana kuwa singo maza sio ulemavu! Huyo dada hajajielezea hata sehemu yoyote kama ni singo maza na ndio maana unaishia kuhisi tu! Amesema tabia ya mtu haina uhusiano wowte ule na kuwa na mtoto!
Mwanaume anaweza kuchukua kila kinachokuja, hasa vinavyokuja cheap.Kwann alimruhusu huyo mwanamke waish naye??
Angekua sio single mama angeruhusu kuishi nae mda mrefu bila ndoa??
Logic kijana haiitaji shule
Watu wasichukulie vitu personal Kuna mmoja Kesha ninyooshea kidole hapo juu kua mim mi single maza ok fine let it beNa mimi sijamsema yeye personally, au nionyeshe wapi nimesema nakwede97 ni single mama, mbona umebeba bango kuuubwa wakati tunaongea vitu petty tu😅😅
Sio watoto wadogo wanajua wanachokifanya mwanaume kumuita mwanamke kuishi na ww alikua anafikiria nin? Sidhan kama huyo mwanaume alishikiwa kisu Ili Aishi na huyo mwanamke kayataka mwenyewe acha yamkuteMwanaume anaweza kuchukua kila kinachokuja, hasa vinavyokuja cheap.
Wewe unadhani ni sahihi kukubali "sogea tuishi" bila kufuata utaratibu na heshima ya familia? Unadhani kati yao nani yupo likely kuwa anapoteza?
Hizo drama ni kabla ya ndoa, ukioa huyo jiandae na heart attckWakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda.
Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye mtoto wa chini ya miaka 10 kwa ile style ya SOGEA TUISHI.. ni mwezi kama wa 4 tangu tuanze kuishi pamoja. Alikuja na mwanae ila baadae akaongezeka mtoto mwingine wa kaka yake. Kwa sasa nyumba ina watu wanne. Binafsi sikuwa na tatizo lolote tangu mwanzo kwa sababu nyumba ninayoishi ni kubwa ya kutosheleza.
Bado hatujafanya utambulisho rasmi ila tayari familia zetu zinafahamu tumekuwa wapenzi wa zaidi ya mwaka na tayari tumeanza kuishi pamoja. Siku za hivi karibuni akaanza kusisitiza sana nianze mchakato wa kumuoa. Nikamjibu sawa ila anipe muda kidogo maana kwa sasa kuna mambo ya kikazi yamekaa vibaya mno kiasi kwamba uchumu umeyumba hatari. Wakati ninafikiria labda mwenzangu kashaelewa ghafla wiki moja iliyopita akaibuka kwa msisitizo zaidi nimtambulishe rasmi kwetu na kutuma mshenga.
Nilimjibu kama nilivyomjibu mwanzo na kumwambia kama hataki kunielewa achukue uamuzi wa kurudi kwao kwanza au ikimpendeza hata kujitoa kwenye uhusiano ni sawa tu. Binti alilia sana na kunitupia lawama nikambembeleza tukafanya tendo kisha tukalala. Nikajua kesi imeisha maana mechi ilikuwa ya kiwango cha juu.
Cha kushangaza akaanza utaratibu wa kulala kwenye kochi sebuleni na kuhamisha nguo zake zote kwenye chumba cha watoto. Pia kaanza kutumia public toilet & bathroom. Nguo anabadilishia chumba cha watoto. Siku ya kwanza nilimuuliza kwanini unalala kwenye kochi akajibu mwili wake unauma hivyo kochi lipo sawa kwake.
Kiukweli naona kama nachezewa akili na ninataka nimwambie aondoke na atarudi nikikamilisha utaratibu nyumbani kwao. Ninahisi kubaguliwa ndani ya nyumba yangu.
Ninaamini hapa JF nitapata ushauri ulionyooka. Tafadhalini mnishauri kama kumwondoa hapa ni sawa au sio sawa.
Kwa sababu mwanaume ndo anaenda Kwa mwanamke kuoa na si mwanamke kwenda kuoa Kwa mwanaume sasa unaanzaje kudai ndoa badala kumshawishi Kwa vitendo atangaze ndoaKwa nini anae dai ndoa sio?
OK sawa dadaKwa sababu mwanaume ndo anaenda Kwa mwanamke kuoa na si mwanamke kwenda kuoa Kwa mwanaume sasa unaanzaje kudai ndoa badala kumshawishi Kwa vitendo atangaze ndoa