Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

Ukisikia watu walio na akili zilizoka kihasara hasara ndo wa hivi
 
We Si ulijutambulisha kama mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja!? Umeoa lini tena?
 
Kuna jambo roho wa bwana anasema na mmi kuhusu mke wako usipoteze muda nipatie namba zake hutojuta
 
Weka namba tumshauri namna ya kujisitiri
 
Tubadilishane mkuu, huyu Fatuma wangu yeye anavaa suti hadi akiwa chumbani, wakati kila siku namuomba afunge tu khanga nyepesi na ifunike tak0 hata isimalize...😋
 
Changamoto ya afya ya akili imekuwa ikiongezeka kwa kasi!
 
Pole sana Mkuu,

Hapo cha kufanya ni kutuma Wazee watu wazima kama Wanne hivi waende wakaeleze hili jambo kwa Wazazi wake kabla hayajawa makubwa zaidi

Ukiona amerudia ni kumshitaki kwenye vyombo vya Dini

Aache huu upumbavu, haoni anajidhalilisha?
 
We boya kweli..wakiitwa wanaume na wewe unajitokeza?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…