Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Mkeo ana msambwanda?
 
Mliishia wapi na ndoa yenu kiukweli walikua wanachrpuka wote
 
Upo?
 
Ambacho hakielewi msimamo(nyuma yamsimamo wamkewe) ,mkewe kashamwambia jamaa bila million 3 hatui mzigo ,msimamo
 
Mnatuchosha bure wewe ulianzia wapi kuoa Mke anajua Kizungu wewe unajua kimakonde tu?

Ahaaaaaa ila umemichekesha kama nakuona ulivyokuwa ukikopy hiyo SMS kwa simu ya wife [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimechekaa sanaa
 
Mnatuchosha bure wewe ulianzia wapi kuoa Mke anajua Kizungu wewe unajua kimakonde tu?

Ahaaaaaa ila umemichekesha kama nakuona ulivyokuwa ukikopy hiyo SMS kwa simu ya wife 😂😂😂😂😂
Kwa shida sana, herufi moja moja kama anaweka sahihi kwa dole gumba
 
Suddenly when i started feeling that she was cheating on me, i left her.
 
Just act serious and accordingly,

Hapo ndy penye utata mkuu..

Jamaa itakuwa kapigwa kizinga na mkeo halafu anazungusha ,,
Sasa anaambiwa awe serious kama walivyopanga..

Ili aendelee kula pachu pachu.
 
Kwa shida sana, herufi moja moja kama anaweka sahihi kwa dole gumba
Ila nijibu kwa usahihi kabisa inakuwaje wewe hujasoma hata unaoa mke kasoma hivi inakuja kweli? Ingawa mapenzi hayachagui ila kuna kasoro lazima ije ilete shida
Huku kazini nilisikia kisa mwanaume mwenzenu alikuwa akilalamika kwa wenzake mke wake kumuita wakili wa kiume yaan wakili mwenzie ,," dear learned brother" na kamsev hivyo. Eti anasema sio kaka yake ana mashaka😊😊
 
Wakati mwingine noti ikiwepo inakupa kiburi. Unaona utaweza kuidhibiti akili ya mwanamke msomi, kumbe uko mbali kabisa na uhalisia.
 
Wakati mwingine noti ikiwepo inakupa kiburi. Unaona utaweza kuidhibiti akili ya mwanamke msomi, kumbe uko mbali kabisa na uhalisia.
Mme ana pesa mke ana elimu, ki junior kinapeleka home work kwa baba....daaaad what is the meaning of thiiiis, i don't understand plzzz explain to me daadiiiii

Baba anajifanya yupo busy kuongea na wafanyakazi wake, anasema mpelekee mama yako.
Ki junior kinamfata mama jikoni mama yupo busy anapika ila wakati huo anachat na mchepuko. Anamjibu mpelekee Baba.
 

Nimecheka! Pole mwaya! Kwahiyo mwenyewe umechanganyikiwa balaaa huelewi anakusaliti au kweli ni kazi tu!!
 
Mambo magumu sana.
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…