Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 729
- 806
Maandishi haya siyo mageni hapa mjini .......Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini