Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Hawa wanawake usisumbuane nao, we tafuta mwingine kisha uone nani atalia
 
Hahaha..................njoo unisalimie Kijijini Babu yako, Mwezi Uliopita nimevuna debe 6 za asali

Kazi ya asali si unaijua Mjukuu 😜
Asali ni hii hii au asali code.....

Ntakuja basi tuzikule hizo asali zetu
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Pole huenda hachepuki
 
Asali ni hii hii au asali code.....

Ntakuja basi tuzikule hizo asali zetu
Hahaha........ Mjukuu, ni asali hiyo hiyo inayotengenezwa na Nyuki 😜

Bahati mbaya tuliwahi kuonywa kuhusu kumwaga Mchele kwenye Kuku wengi, otherwise I should have said it all 🤗
 
Eehh hapo huyo jamaa alikuwa mtu wake kipindi wapo chuo ,, huenda jamaa alichelewa kujipata kwenye maisha ,, hivi karibu pengine mambo yake huyo jamaa yamemnyokea ( labda kapata kazi nzuri ) hali iliyopelekea mkeo aingie tamaa na kuona kama ndoa yenu inambana ili asiwe na huyo jamaa ..

Lakin asichokijua sisi wanaume siyo wajinga ,, kama atavunja ndoa na kwenda kwa huyo jamaa badi aandike maumivu maana jamaa atamtumia tu kisha ataoa mwanamke mwingine kabisa wa ndoto zake
Wanawake wengi hawalielewi hili, yaani ukuache mumeo afu mchepuko akuoe mara nyingi huishia kuchezewa tu
 
Wa kwangu nilimpasua na simu yangu usoni kwa kumpiga nayo usoni Hadi akashonwa nyuzi tatu..hii ilitokea baada ya mtu anaedai walisoma wote chuo kumpigia mida ya saa nne usiku..na nlimpomwambia kwann akupgie mdahuu akajibu,..we unafikiri mi muhuni Kama wewe ...aisee hasira zilikaba nikajikuta nimempga na cm usoni...akapasuka na simu ikafa jumla...bahati ilipiga juu kidogo ya macho
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Kama sio bikra usioe
 
Back
Top Bottom