Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Njoo tunywe kahawa wakati huo Wakala wangu anakamilisha kuhamisha mwamala kwenda kwenye ile akaunti yako ya Fedha za Kigeni

Kuweni na imani na Wazee 🤗
🤣🤣🤣🤣 Umesema kwenye account yangu ya kigeni?
Aisee,kahawa njema mkuu!
Karibu sana mbeya
 
🤣🤣🤣🤣 Umesema kwenye account yangu ya kigeni?
Aisee,kahawa njema mkuu!
Karibu sana mbeya
Hahaha.....................nilisahau, kumbe ni ile akaunti ya ndani ya Fedha za Vikoba? 😜

Njoo tunywe kahawa Mjukuu, unajua nimeshaagiza tayari 🤗
 
Mke wako anakumuduu sanaa aisee eti tuachane kama huamini🤣🤣🤣🤣 Kwanzaa angekulaa kofiii mojaaa akili zimrudie maana anahisi anaongea na mpuuzi flani wakati ni mume wake lakini Wew pia acha uzwazwaa mkeo asiwee na rafiki??? Labda kama ni ule ulioptiliza kuchat kila muda sijui wanaongea na simu ila ule wa kujuliana hali sio mbaya.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Dah. miaka 6? Unastahili shahada kuuuubwa ya uvumilivu kiongozi! Degree ya udaktari na internship ushamaliza hapo tangu wameanza mambo yao
 
Mkeo anapata wapi guts za kukuambia muachane?
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hiyo kauli ya bora tuachane, anaonekana ana mambo mengi huyo.
 
Ukiulizwa kinachokufanya mpaka saiv bado unamuita huyo mwanamke mke wako ni kipi utawaambia nn watu,,,,,

Yamkini wavulana hawataisha kamwe!!!! yaani mtu mwaka wa sita unagongewa ila bado upo tu unajifyatua akili😄😄😄😄ww ndo wale mkifumania mnajiua😁😁😁😁

Ni kwanini unashindwa kusoma alama za nyakati huko chuo the so called mkeo alipigwa pipe heavy shoo shooo dadeki kitu hicho ndo kinamfanya haachi kuwasiliana na huyo mme wake wa kweli,,,,,alafu anakupa majibu yenye utata lakini bado ndo kwanza unakuka JF kuuliza mambo mepesi kabisa ambayo mtoto wa form 2 c ananyambua vizur na majibu anakupa.

Wewe endelea kukaza kichwa huyo mwanamke akiona hujiongezi, ataongeza vituko yeye🤗🤗🤗 tulia hivyo hivyo siku utakuta amekunjwa staili za wanachuo😄😄😄 kitu ambacho anamiss ndo akili itakukaa poor young man!!!

Na kama tangu atoke chuo mmepata mtoto, ww kapime DNA lasivyo ww ni baba mlezi( BOYA). Unashindwa akili na wanyama, mnyama mfano wa simba huwa halei mbegu ya dume jingine ni kifo tu,,,,,,adios amigos!!!!
 
Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme, tusidanganyane humu. Huyo mume ndio angekuwa na rafiki mwanammke miaka 6 yeye angekubali?
Sio kitu ambacho ni common ila ni kitu ambacho kinatokea mwanaume na mwanamke kuwa marafiki
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini

We ni Fala kweli!!!!
 
Pole sana mkuu.

Kuna jamaa namfahamu yeye alipo maliza chuo , alipata mahali pakuishi GF wake bado alikua chuo hajamaliza. Wakawa wanaishi wote.

Ingawa waliachana na kila mtu ana mambo yake, ila bado wanawasiliana kwenye mambo muhimu ya kimaisha na wala hawatamaniani.

Inaweza kutokea ila on very rare occasions.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Mwanamke hatakiwi kukuambia wewe tuachane, akikuambia hivyo tu ushaharibu.

Wewe ndiye unatakiwa kumuambia mwanamke muachane.

Zingatia kanuni hii hutatatizwa na mahusiano.
 
Kama mna watoto, pima DNA.
Mke wako anavitu pembeni ndio maana anakudharau. Ukishindwa kuvumilia achana nae.
 
Huu ni ukweli ambao hausemwi:

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wameolewa na wanaume ambao hawawapendi na hawana hisia nao kimahaba walichofuata kwa wanaume hao ni kibunda na matunzo tu.

Hisia ziko kwa waliowahi kuwa na uhusino nao zamani wa kimapenzi

Endeeeni tu kushusha standards za wanawake wa kuwaoa mtajifunza kwa maumivu sana

The more reason men should settle for virgins

Learn or perish

Angalizo;

Urafiki wa mwanaume na mwanamke ni sawa kuuufanya muwa kuwa mti wa kukusaidia kutembelea.........

NB;
Mengine utaamua mwenyewe......
 
Inaonekana jamaa alishafumua mshono........ila hakuwa seriously na ndoa .........ndio wewe ukatokea kukamilisha mission ........sasa mapigo huna ........dizaini wewe ni wale wa mazoea yaani kimoja chali..........sasa kamkumbuka mwana ambaye alikuwa anasugua mpaka inasikika harufu ya muunguo kama wa tairi ya gari au unaweza kusema cratch imeungua ............hapo lazima usande mzee baba .........issue ni hivi ........uongeze mapigo kutoka moja mpaka 3 au uruhusu mwana atawale kambi kama zamani
 
Back
Top Bottom