Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
NAKAZIAChief usipaniki inawezekana ikawa kweli wakawa marafiki wa kawaida tu! Ila unachopaswa kufanya ni kukaa kimya na kupotezea hyo ishu ili upate nafasi ya kufanya uchunguzi kimya kimya. Jinsi unavyozidi kumpigia mayowe ndio unavyozidi kujiweka mbali na ukweli.
We piga kimya mpaka akijisahau uwe unakagua simu yake bila yeye kujua.
we endelea na mambo yako,kama ni msaliti utamkamata tu,kama kweli unampenda mkeo hyo siyo inshu ya kuachana