Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Nilikuwaga na mwanamke Kila tukikosana anakimbilia kusema bora tuachane "assume mtu unampgia simu asubuhi hapokei nikamtumia message ya kugombeza anakimbilia bora tuachane"

Kaka kwanza ningekua mimi ndo wewe hapa ningemkatia tiketi nikiamuacha aende kwao
Ukishaona kwenye mahusiano hiyo kauli ya bora tuachane imeingia jua fika hupendwi wala huthaminiwi na hahofii kukupoteza, cha kufanya ni kupiga chini tu maana utaishi kwa shida sana.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Miaka 6 umeshindaje kufahamu ukweli wa hilo???? Ulijuaje wanawasiliana kwa miaka 6 yote?????
Binafsi nahisi kama unatufunga kamba ya kudu.

Umesema una mashaka na mtoto wa kwanza, kwa nini uwe na mashaka in relation to Mawasiliano yao???

In short naona wewe ndo tatizo kubwa. Ulipaswa ujue ukweli ndani ya miezi michache tu ya ndoa yenu na ndo maana huyo mkeo anakujibu hivyo kwa jeuri kwa sababu kashakuona wewe ni mme bwege.
Rejea neno mme bwege
 
Mtu yeyote kuwa na mawasiliano na mwanachuo mwenzake wakiwa bado wanasoma haishtui sana maana yake nilijua kama wana wasiliana ila nimeshtuka kuona mwaka wa sita bado Ana namba yake na wanachat na namba yenyewe haija seviwa nilipo iangalia m pesa ndo nikajua ni mtu yule yule walichat miaka sita iliyo pita. Mimi nipo jamii forums mda mrefu post zangu hazizidi tano kwa hiyo sina mda wa kuwaandikia uongo
 
Miaka 6 umeshindaje kufahamu ukweli wa hilo???? Ulijuaje wanawasiliana kwa miaka 6 yote?????
Binafsi nahisi kama unatufunga kamba ya kudu.

Umesema una mashaka na mtoto wa kwanza, kwa nini uwe na mashaka in relation to Mawasiliano yao???

In short naona wewe ndo tatizo kubwa. Ulipaswa ujue ukweli ndani ya miezi michache tu ya ndoa yenu na ndo maana huyo mkeo anakujibu hivyo kwa jeuri kwa sababu kashakuona wewe ni mme bwege.
Rejea neno mme bwege
Kuhusu ubwege ni kawaida kama ambavyo huenda mpenzi wako amekazwa mda sio mrefu na hujui kwa hiyo usilazimishe tuhame maada
 
Kwamba kuliko kuacha kuchat na rafiki yake wa kiume wa chuo bora muachane?? Unataka ushauri gan ndugu are u slow or sumh?
 
Hivi humu hamna mwenyekiti wa chama cha wanaume? Awaite kando wanachama mfarijiane kidogo?

Hii wiki yote ni vilio kutoka kwa wanaume wanatishiwa kuachwa na wake zao 🤣🤣🤣🤣

Atoto Kapeace kama majirani hawana viongozi tuwasaidie kuwachagulia.

Napendekeza Mshana Jr na babu Grahams busara zao zitaokoa jahazi
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Acha kumfuwatiliana sana mkeo utakufa mapema. Fanya yako na wewe tafuta mtoto mzuri chat naye mpotezee alafu uwone atakavyo vurugwa
 
Nilikuwaga na mwanamke Kila tukikosana anakimbilia kusema bora tuachane "assume mtu unampgia simu asubuhi hapokei nikamtumia message ya kugombeza anakimbilia bora tuachane"

Kaka kwanza ningekua mimi ndo wewe hapa ningemkatia tiketi nikiamuacha aende kwao
Akisema bora tuachane unamwambia nipe maandishi alafu una file divorced au unamwambia chapa lapa
 
Back
Top Bottom