Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Hao viumbe nuksi,haitakiwi wawezeshwe kwa namna yoyote ukitaka ndoa yako iwe salama!

Mwanamke akipata mafanikio kidogo wanakuwa viburi sana na roho mbaya.
📌📌📌WOTE WALIOKAIDI HII AMRI YA KWANZA YA KUISHI NA MWANAMKE WAMEPIGWA NA WATAENDELEA KUPIGWA NA NATURE KWAKUA WAMEJITOA UFAHAMU.HUTAKIWI KWA AKILI ZAKO AMA ZA KUSHAURIWA AU ZA KUSHIKIWA AU ZA CHUMBANI UMUWEZESHE MWANAMKE KWA NAMNA YOYOTE ILE.ASIYESIKIA LA MKUU,,,,,,,

📌MWANAUME KAMA UNAONA KUIHUDUMIA FAMILIA YAKO KWA KILA KITU NI JAMBO ZITO SITISHA SWALA NA MAWAZO YA KUOA.

📌MWANAMKE ATAKUCHEKEA USONI ILA MOYONI AMESHAJIAPIZA HAWEZI KUFANYA MAJUKUMU YAKO NA KISHA AKAENDELEA KUKUHESHIMU.

📌MWANAMKE AMEUMBWA AIDHA AWE CHINI YAKO AKUHESHIMU AU AWE JUU YAKO AKUDHARAU.

THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR
 
Hatari mkuu,mie hapa nna mwezi huu wa pili sipewi uroda ndani, uzuri nimempuuza napiga zangu nje maisha yanasonga!
hawa viumbe ukisikia mwanaume kaua mwanamke wala tusilaumu sana,ni viumbe wabinafsi na wenye roho mbaya.
Ni ukweli lakini hua wanarudi kwenye mstari tu, wewe tafuta kinachomtia kiburi kisha kata kuanzia matawi mpaka mzizi wa shina hapo lazima atarudi kukupigia magoti hua wanageuka akiangalia huku hola na huku hola lazima arudi zizini huku anachechemea
 
Pole sana mtoa mada
Mungu akufanyie wepesi,
Japo njia yako ya kutatua tatizo inakwenda kuleta tatizo kubwa kuliko lililipo sasa.

......
Tukirudi kwenye comment,
Wanaume mnalialia aisee
Yaani hadi page ya 8
Vilio tu vya wanaume🙌🏿
Mnalia kuliko hata sisi dada zenu😀
 
Ongeza

Wakishika hela yaan hela wakizishika na wametoka familia duni isiyojua kushika hela hapo lazima afanye maajabu ya dunia yaan wanakua viburi na mwanaume ili uishi na mwanamke wa namna hio inabidi uwe na mbinu nyingi za kivita ili usije ukaleta balaa
Tupe hizo mbinu mkuu japo kwa uchache
 
Pole sana mtoa mada
Mungu akufanyie wepesi,
Japo njia yako ya kutatua tatizo inakwenda kuleta tatizo kubwa kuliko lililipo sasa.

......
Tukirudi kwenye comment,
Wanaume mnalialia aisee
Yaani hadi page ya 8
Vilio tu vya wanaume🙌🏿
Mnalia kuliko hata sisi dada zenu😀
We unatakaje labda, yaani nini kifanyike🤣 ili tuache kulia?
 
Ngoja niwaibie Siri vijana wangu, wadogo zangu

Kitu pekee kinachofanya ndoa iwe na amani na furaha itawale kwenye muunganiko huo ni UTII......

Hata siku moja usikubali kuishi kwenye nyumba moja na mwanamke asiye kutii.......

Mwanamke wako anapopoteza UTII kwako mumewe unatakiwa umuache mara moja kwa ajili ya kulinda UTU wako, UHAI wako na AFYA yako kwa ujumla.....

Mwanamke automatic kaumbiwa kumtii mwanamume na kufuata kile ambacho anachoelekeza mumewe(kiwe cha kheri)

Ukiona mwanamke kapoteza UTII kwako mumewe basi lazima kuna mwanaume mwenzio anayemtii.....kwa kuwa moyo wa mwanamke kamwe haubaki tupu....kwa kuwa mwanamke ni kama kifaa kilichoumbwa kwa ajili ya matumizi lakini kinangoja maelekezo tu ndani yake ambaye ni mwanaume........

Ni afadhali kubwa mtengane mapema ukiwa na afya njema na nguvu za kuwahudumia watoto wako hata kama wako mbali

NASISITIZA TENA
MWANAMKE ALIYEPOTEZA UTII KWAKO ACHANA NAYE MARA MOJA.....

Kawaida ya mwanamke hakumbuki fadhila mpaka kule alipopategemea mambo yaende kombo........
 
kawaida hayo mambo mkuu mwanamke anamuweza mwanamke mwenzie tafuta mwanamke mwingine amisha kambi huko then umdhalau na wala usihoji wala kufatilia mambo yake piga mashine humo mpk iwe nyekundu papuchi yaan mpk wewe ukinai ila hakikisha watoto wanakula na wanakwenda shule safi na wala usilale nje hata siku moja bila taarifa ya kueleweka

wewe mpige mzungu wa nne miezi mitatu mfululizo 7bu anajua sio kawaida atanyooka heshima itarudi
mwanamke akishaamua lake hata usemeje hakuelewi ni DUSHE tu ndo ataweza lielewa hasa atakapoona dushe lako halina habari nae na mpo ndani wote then wewe umjali wala nini na dhalau. zake na mambo yako yanaenda tena ukute unaelewana vinzuri na wanao mnaongea mcheza mnacheka
lazima ajione fala
Mwanamke anamuweza mwanamke mwenzie ina maana gani mkuu? Mzimu wa Kolelo
 
📌Braza acha kuwa soft soft women hawakuwa programed kumiliki bali kumilikiwa,hawakuwa programed kuongoza bali kuongozwa,hawakuwa programed kutoa ushauri bali kushauri, hawakuwa programed to be anything useful tofauti na chombo cha starehe.

📌Nyie binadamu wabishi ndio mnataka mbadili body ya gari muweke bus wakati engine ni ya ist.Mnawapa mzigo mkubwa sana ndio maana wanaishia kuwafedhehesha na kuwadharau.

📌UKITAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE MZIDI KILA KITU.NA HAKIKISHA ANAJUA KUWA AKIENDA TOFAUTI NA WEWE UNAUWEZO WA KUMPATIA MBADALA( NEVER BEG TO BE WITH HER YEYE NDIO AWE ANAPAMBANA AWE NA WEWE).MWANAMKE AKITOA USHAURI USIKILIZE ILA FANYA OPPOSITE AU ACHA KWANZA UTAUTEKELEZA SIKU ZA MBELENI.

📌USIJE KAMWE UKAMBEMBELEZA MWANAMKE.HATA UKIFANIKIWA KUMRUDISHA HAWEZI KUKAA KAMA AWALI.AKITAKA KUONDOKA AU KUTENGANA MUONYESHE MLANGO.

📌KUISHI NA HAWA VIUMBE SIO LELEMAMA.NA VIJANA SIKU HIZI HAMUENDI JANDO BASI MAISHA YENU NA WNAWAKE NI TAMTHILIA YENYE KUTIA HUDHUNI.

📌MWANAMKE ANATAKIWA AWE ANAKUITA KATILI,DIKITETA,UNAROHO MBAYA HAYA MAJINA UNAWEZA YAONA NI MABAYA ILA NDIO SIFA NZURI UNAPEWA.MESEJI UNAPEWA NI KUWA AMESHINDWA KUKUCONTROL😀😀😀


📌ILA UKIONA UNAAMBIWA WEWE NI GENTLEMEN,MWANAUME HALISI,MWANAUME WA KWELI NA MAJINA YOTE MATAM MATAM🥱🥱🥱JUA MWANAMKE ANAKUPA MESEJI KUWA WEWE KIAZI MBATATA AMESHAKUJUA JINSI YA KUKUCONTROL.

📌Mwanaume ni mwiko kukaa nyumbani na kupatikana hovyohovyo bora ukiwa huna mishe kabisa ukakae kijiweni au baa mbali na mwanamke.

HUKU NDO KUISHI NAO KWA AKILI KULUKOKUSUDIWA
MZEE MWENZANGU.....

UMEMALIZA KILA KITU.....HUU UZI UNGEISHIA HAPA TUENDELEE NA MIJADALA MINGINE....
1002384651.jpg
 
Mambo ya mikipo yanawamaliza sana , usiwe na presha ya maish ,kila jambo nenda nalo taratibu.

Hapo umezaa watoto bila ya mpangilio ,hayo madeni kuna kipindi utaona kama unafanya kazi bure.

Siwezi kujipa stess nimejenga kwanza then natafuta mke wa kuoa ,mambo ya kukopa hapana.
 
Back
Top Bottom