Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
ikiwezekana mnapeana ata talaka mkuu ni bora kupata amani kuliko kufuga migogoro ndani
📌Braza acha kuwa soft soft women hawakuwa programed kumiliki bali kumilikiwa,hawakuwa programed kuongoza bali kuongozwa,hawakuwa programed kutoa ushauri bali kushauriwa, hawakuwa programed to be anything useful tofauti na chombo cha starehe.Yani wanawake sijui wakoje, akipata hela badala afurahie na familia yake anaanza kejeli kwa mume na kumuona kama bwege tu kisha ataanza kupigwa pumbu nje. Sijui huwa ni pepo mchafu au nini kinawakumba ila 80% ya wanawake wakimiliki uchumi huwa hivyo. Ndio maana wazee wetu waliwapinga sana kwenye fursa za hela ili wawe duni maana ndio discpline inakuwepo.
Ondoka mapema kabla hujapata shinikizo la damu plus kisukariMimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Usiogopee ndugu ila ogopa magoti ya wanawake .....wakikuombea uzuri au malalamiko yao kwako.....ingia ndoa ukijua hilo.....mifano hai kibao sana mwanaume akiwa nazo dharau umalaya kiburi ndani......ikitokea kibao kinageula mwanaume atalalamika pia anataka kukimbia au kujiua....suala kubwa mwanaume uwe mvumilivu na uwe busara na subira saanas x100.....hapo...ujue mapema hhao wenza ni wadhaifu lakini mbelee kuleeer hawaoni....wao ni hisia zaidi kila kitu ni hidia tu....wanaziamini mnooo 99%....wanaume ni facts na akili.....kazi kwako tumeumbwa tofautii kbssssDah na Mimi nataka kuoa nakutana na hii issue naishiwa nguvu
Mimi pia rafiki yangunkweli ila manka nimekumithi,
Nakubaliana na wewe [emoji817]Kuna kitu wanaume wengi bado hamjakijua kuhusu suala la haki sawa au usawa wa kijinsia. Usawa wanaoutaka wanawake sio kwa ajiri ya kutoa mchango kwenye ustawi wa familia au maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Wanataka usawa ili wawe na uhuru wa kutembea nusu uchi, kufanya ngono na mwanaume yoyote, kurudi nyumbani muda wowote, na kuwa na uwezo wa kutunishiana msuli na mume. Usawa wanaoutaka ni uhuru wa kuishi reckless life bila kuwajibishwa.
Ndio maana wanawake kupewa nafasi kwenye elimu haijaleta ongezeko la wanasayansi au wagunduzi wa kike isipokua imeleta ongezeko la feminist na kupanda kwa rate ya talaka.
Hili ni jambo ambalo unatakiwa kulijua kabla ya kumwezesha mkeo kieleimu au kiuchumi
Mbona kama darasani tena 😅Taja ambao wako tofauti?
Hapo sio kataa ndoa, hapo ni kataa Mwanamke asifanye kazi abaki nyumbani na Hilo ndo kosa lako.Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Hao viumbe nuksi,haitakiwi wawezeshwe kwa namna yoyote ukitaka ndoa yako iwe salama!Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Wote ndio mpo ivyo,nyie sio watu.Sio wote
Tatizo kamdomo 😂🤣🤣.., Wala loan Wala after baadaMimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Bro relax wanawake ndivyo walivyo kuishi na mwanamke unahitaji uwe na mbinu nyingi za kivita, wanawake ni watoto waliochangamka yaan ndani wana utoto mwingi sana kwa hio inabidi ujue jinsi ya kuishi naoKwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona
hana chake hapo huyo mwanamke hawezi muheshimu tena.Ondoka mapema kabla hujapata shinikizo la damu plus kisukari
Ndivyo walivyo inabidi uwe na mbinu nyingi sana za kivita kuishi nao kwa amani bila hivyo unaweza ukabwaga manyangaMwanamke akipata mafanikio kidogo wanakuwa viburi sana na roho mbaya.
Hapana sio kweli mwanamke akishika hela ndio anakua mbogo ila hela ikikata akili zinarudi kwa hio hapo atulie tu asubirie muda hela ikikata naona akili itamrudia huyo mwanamke maana hivyo ndivyo walivyoumbwa wakishika hela wanakua viburi, jeuri, dharau, kujiona, majivuno, nkhana chake hapo huyo mwanamke hawezi muheshimu tena.
Hatari mkuu,mie hapa nna mwezi huu wa pili sipewi uroda ndani, uzuri nimempuuza napiga zangu nje maisha yanasonga!Ndivyo walivyo inabidi uwe na mbinu nyingi sana za kivita kuishi nao kwa amani bila hivyo unaweza ukabwaga manyanga
Kwahio mi nayeitwa mbishi na mbinafsi niko kwenye raiti traki😂?!📌Braza acha kuwa soft soft women hawakuwa programed kumiliki bali kumilikiwa,hawakuwa programed kuongoza bali kuongozwa,hawakuwa programed kutoa ushauri bali kushauri, hawakuwa programed to be anything useful tofauti na chombo cha starehe.
📌Nyie binadamu wabishi ndio mnataka mbadili body ya gari muweke bus wakati engine ni ya ist.Mnawapa mzigo mkubwa sana ndio maana wanaishia kuwafedhehesha na kuwadharau.
📌UKITAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE MZIDI KILA KITU.NA HAKIKISHA ANAJUA KUWA AKIENDA TOFAUTI NA WEWE UNAUWEZO WA KUMPATIA MBADALA( NEVER BEG TO BE WITH HER YEYE NDIO AWE ANAPAMBANA AWE NA WEWE).MWANAMKE AKITOA USHAURI USIKILIZE ILA FANYA OPPOSITE AU ACHA KWANZA UTAUTEKELEZA SIKU ZA MBELENI.
📌USIJE KAMWE UKAMBEMBELEZA MWANAMKE.HATA UKIFANIKIWA KUMRUDISHA HAWEZI KUKAA KAMA AWALI.AKITAKA KUONDOKA AU KUTENGANA MUONYESHE MLANGO.
📌KUISHI NA HAWA VIUMBE SIO LELEMAMA.NA VIJANA SIKU HIZI HAMUENDI JANDO BASI MAISHA YENU NA WNAWAKE NI TAMTHILIA YENYE KUTIA HUDHUNI.
📌MWANAMKE ANATAKIWA AWE ANAKUITA KATILI,DIKITETA,UNAROHO MBAYA HAYA MAJINA UNAWEZA YAONA NI MABAYA ILA NDIO SIFA NZURI UNAPEWA.MESEJI UNAPEWA NI KUWA AMESHINDWA KUKUCONTROL😀😀😀
📌ILA UKIONA UNAAMBIWA WEWE NI GENTLEMEN,MWANAUME HALISI,MWANAUME WA KWELI NA MAJINA YOTE MATAM MATAM🥱🥱🥱JUA MWANAMKE ANAKUPA MESEJI KUWA WEWE KIAZI MBATATA AMESHAKUJUA JINSI YA KUKUCONTROL.
📌Mwanaume ni mwiko kukaa nyumbani na kupatikana hovyohovyo bora ukiwa huna mishe kabisa ukakae kijiweni au baa mbali na mwanamke.
HUKU NDO KUISHI NAO KWA AKILI K ULUKOKUSUDIWA
Mbona mnaeka Kwa ujumla jaman💔
Baasiii mada ifungweMwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
OngezaWote ndio mpo ivyo,nyie sio watu.