Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Hao viumbe nuksi,haitakiwi wawezeshwe kwa namna yoyote ukitaka ndoa yako iwe salama!

Mwanamke akipata mafanikio kidogo wanakuwa viburi sana na roho mbaya.
📌📌📌WOTE WALIOKAIDI HII AMRI YA KWANZA YA KUISHI NA MWANAMKE WAMEPIGWA NA WATAENDELEA KUPIGWA NA NATURE KWAKUA WAMEJITOA UFAHAMU.HUTAKIWI KWA AKILI ZAKO AMA ZA KUSHAURIWA AU ZA KUSHIKIWA AU ZA CHUMBANI UMUWEZESHE MWANAMKE KWA NAMNA YOYOTE ILE.ASIYESIKIA LA MKUU,,,,,,,

📌MWANAUME KAMA UNAONA KUIHUDUMIA FAMILIA YAKO KWA KILA KITU NI JAMBO ZITO SITISHA SWALA NA MAWAZO YA KUOA.

📌MWANAMKE ATAKUCHEKEA USONI ILA MOYONI AMESHAJIAPIZA HAWEZI KUFANYA MAJUKUMU YAKO NA KISHA AKAENDELEA KUKUHESHIMU.

📌MWANAMKE AMEUMBWA AIDHA AWE CHINI YAKO AKUHESHIMU AU AWE JUU YAKO AKUDHARAU.

THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR
 
Hatari mkuu,mie hapa nna mwezi huu wa pili sipewi uroda ndani, uzuri nimempuuza napiga zangu nje maisha yanasonga!
hawa viumbe ukisikia mwanaume kaua mwanamke wala tusilaumu sana,ni viumbe wabinafsi na wenye roho mbaya.
Ni ukweli lakini hua wanarudi kwenye mstari tu, wewe tafuta kinachomtia kiburi kisha kata kuanzia matawi mpaka mzizi wa shina hapo lazima atarudi kukupigia magoti hua wanageuka akiangalia huku hola na huku hola lazima arudi zizini huku anachechemea
 
Pole sana mtoa mada
Mungu akufanyie wepesi,
Japo njia yako ya kutatua tatizo inakwenda kuleta tatizo kubwa kuliko lililipo sasa.

......
Tukirudi kwenye comment,
Wanaume mnalialia aisee
Yaani hadi page ya 8
Vilio tu vya wanaume🙌🏿
Mnalia kuliko hata sisi dada zenu😀
 
Na wewe fanya kama unampotezea na tafuta mpango wa kando, ukilia lia ndio atakusumbua zaidi.
They like games, play smart
 
Tupe hizo mbinu mkuu japo kwa uchache
 
We unatakaje labda, yaani nini kifanyike🤣 ili tuache kulia?
 
Ngoja niwaibie Siri vijana wangu, wadogo zangu

Kitu pekee kinachofanya ndoa iwe na amani na furaha itawale kwenye muunganiko huo ni UTII......

Hata siku moja usikubali kuishi kwenye nyumba moja na mwanamke asiye kutii.......

Mwanamke wako anapopoteza UTII kwako mumewe unatakiwa umuache mara moja kwa ajili ya kulinda UTU wako, UHAI wako na AFYA yako kwa ujumla.....

Mwanamke automatic kaumbiwa kumtii mwanamume na kufuata kile ambacho anachoelekeza mumewe(kiwe cha kheri)

Ukiona mwanamke kapoteza UTII kwako mumewe basi lazima kuna mwanaume mwenzio anayemtii.....kwa kuwa moyo wa mwanamke kamwe haubaki tupu....kwa kuwa mwanamke ni kama kifaa kilichoumbwa kwa ajili ya matumizi lakini kinangoja maelekezo tu ndani yake ambaye ni mwanaume........

Ni afadhali kubwa mtengane mapema ukiwa na afya njema na nguvu za kuwahudumia watoto wako hata kama wako mbali

NASISITIZA TENA
MWANAMKE ALIYEPOTEZA UTII KWAKO ACHANA NAYE MARA MOJA.....

Kawaida ya mwanamke hakumbuki fadhila mpaka kule alipopategemea mambo yaende kombo........
 
Mwanamke anamuweza mwanamke mwenzie ina maana gani mkuu? Mzimu wa Kolelo
 
MZEE MWENZANGU.....

UMEMALIZA KILA KITU.....HUU UZI UNGEISHIA HAPA TUENDELEE NA MIJADALA MINGINE....
 
Mambo ya mikipo yanawamaliza sana , usiwe na presha ya maish ,kila jambo nenda nalo taratibu.

Hapo umezaa watoto bila ya mpangilio ,hayo madeni kuna kipindi utaona kama unafanya kazi bure.

Siwezi kujipa stess nimejenga kwanza then natafuta mke wa kuoa ,mambo ya kukopa hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…