MTU mwenye akili timamu hawezi kuishi na KENGE....ni wa kufukuzaKabisaaa kenge yoyote akileta ujinga unafukuz tuu....
Kama mbunye anakupa basi vumilia kwa vile mna watoto lakini kama hata mbunye hakupi piga chini fasta usikute yeye ndiye anakuletea nuksi.Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Mtu anataka kujua vitu asivyoweza kuvicontrol haya mtu ukifa mke wako atakuwa anachapwa na wakulungwa atamegwa mpaka achoke atukanwe cha wote kisha atahamia makanisa ya mikesha huko napo atachapwa mbaya mbovu kisha atarudi nyumbani na kutulia maana atatambua hakuna jipya chini ya jua🥱🥱🥱🥱🥱🥱Makosa uliyofanya
*kumpa mtaji
*kukubali aajiriwe
*kukubali ushauri wake hata kama ni mzuri namna gani hili ndo kosa kubwa sana ulilihusu mkuu.
Fanya yote lakini ushauri wa mkeo hata kama ni mzuri kiasi gani usikubali na kuufanyia kitu!
badala yake jifanye kuwa hata wewe ulikuwa unapanga hivyo au piga kimya na ufanye kimya kimya.Basi ukikubali ndo hivyo sasa anaema huna akili kisa alikushauri ukope umpe mtaji kweli ukakopa ukampa mtaji,akakushauri kopa mjenge kweli ukakopa ukajenga je mwenye akili hapo ni nani?
Mwanamke akikupa ushauri na ukaufanya basi kwao watajua, mashost zake wa kwenye vikoba watajua na michepuko yake itajua kuwa wewe kichwani hamnazo nayeye ndo remote na ukae ukijua huenda mawazo mengine unaletea yanatoka kwa wanaume wenzio sasa ukiyafuata na yakafanikiwa atakaye heshimiwa siyo wewe bali ni huyo mwanaume mwenzio nawewe utaonekana huna kitu empty set.
% kubwa mnao lialia humu ni ninyi wanaume mnao wapa uhuru hadi 90% wake zenu matokeo yake ndo hayo.
Ili ufurahie ndoa mfanye mwanamke awe tegemezi 100% ukiona huu ni ukoloni basi mpe uhuru uone rangi zake halisi
hayo maswali ya kijinga mnayo jiulizaga eti hivi nikifa mke wangu na watoto wataishi vipi?
Mimi huwa namsikiliza tu then namwambia hapohapo ushauri wako hauna tija hata kama ni mzuri jitahidi kuukosoa uonekane una madhaifu.Siku zote wanawake wanapenda kuungwa mkono na kusifiwa hivyo ukikosoa basi umekata stimu na atakuwa anasema mimi nikimshauri anaona sina akila basi nawewe akikushauri ana kuona hauna.
Dawa ni kukataa ushauri wake au kuukoseoa sana awe anasema hadi ashauliwe na marafki zake ndo anao wasikiliza mimi nilisema tufanye hivi na vile wala hakujibu kitu ila marafiki zake walipo mwambia tu akaja kufanya mara moja......hapa utakuwa umeweza.
Umeongea vyema mkuuKuna kitu wanaume wengi bado hamjakijua kuhusu suala la haki sawa au usawa wa kijinsia. Usawa wanaoutaka wanawake sio kwa ajiri ya kutoa mchango kwenye ustawi wa familia au maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Wanataka usawa ili wawe na uhuru wa kutembea nusu uchi, kufanya ngono na mwanaume yoyote, kurudi nyumbani muda wowote, na kuwa na uwezo wa kutunishiana msuli na mume. Usawa wanaoutaka ni uhuru wa kuishi reckless life bila kuwajibishwa.
Ndio maana wanawake kupewa nafasi kwenye elimu haijaleta ongezeko la wanasayansi au wagunduzi wa kike isipokua imeleta ongezeko la feminist na kupanda kwa rate ya talaka.
Hili ni jambo ambalo unatakiwa kulijua kabla ya kumwezesha mkeo kieleimu au kiuchumi
Shida ni watoto na vijana wakiume wa leo hawajafunzwa the real nature of WOMEN behind their beautiful faces and body shapes.Mi nahisi kwa hali ilipofikia kwenye taasisi ya Ndoa ambayo ipo tangu nchi haijapata uhuru...
Nafikiri kuna haja ya kuwa na ndoa za mkataba! Mnaoana kwa ajili ya interest fulani ( kuanzisha familia/kibiashara/ama vyote kwa pamoja)
Kwa masharti ya kisaidiana kimawazo/kiutendaji etc
-kwa miaka 5/10>>>
- ikiwa mmoja wenu atakiuka taratibu mlizokubaliana ama akataka kuachana kabla ya muda italazimika malipo fulani haijalishi mwanamke au mwanaume
Nahisi ikiwa hivyo pana namna mambo hayatokua mabaya sana maana hatutooana hovyo hovyo wala kuachana hovyo kisa mmepandishiana mishahara.
siku hizi haniogopeshi namchora tuUsipomtema atakuua kwa stress huyo.
Vitu Gani,mkuu ulikua unamfanyia tujuze kidogoPole sana mm pia yamenikuta hawa viumbe sijui wanatuchukuliaje ni waninafsi sana nilikua nampenda sana kuna vitu nilivyomfanyia nikikuambia utasema mm ni bwege lkn wapi najielewa cku hizi namuangalia tu nimeanza mawasiliano na x wangu nasubiri dogo akue kidogo tu nimteme sitaki unafiki mm
Unazungumzia kuhusu jina la I'd yangu Kwa kumaanisha kabisa?Mtu anataka kujua vitu asivyoweza kuvicontrol haya mtu ukifa mke wako atakuwa anachapwa na wakulungwa atamegwa mpaka achoke atukanwe cha wote kisha atahamia makanisa ya mikesha huko napo atachapwa mbaya mbovu kisha atarudi nyumbani na kutulia maana atatambua hakuna jipya chini ya jua🥱🥱🥱🥱🥱🥱
Ukweli mchungu wanaume wengi wanakufa bila sababu ya msingi.Watoto na huyo mke kama wameandikiwa wameshaandikiwa ila kama apeche alolo huna nguvu ya kupingana na nature cha msingi ni bora ukafanya kazi kwa nguvu uwaachie urithi mnono tofauti na hapo huyo mke wako zamu yako ikiisha ataitembeza tu utake usitake!!!!
Yeah huo ndo uanaume. Ukikubali ushauri wake umeishaHii huwa napita nayo sana hadi wife anasemaga hawezi kunishauri kwa sababu simsikilizi ila marafiki wakinishauri nawasikiliza
hahahaVitu Gani,mkuu ulikua unamfanyia tujuze kidogo
Ujumbe mzuri sana. Mwanamke akifikia hatua hiyo jua kabisa yupo Tyr Kwa lolote na huwezi muambia kitu maana kashakumudu kitambo majaribio yake yote kwako yamefaulu Kwa ufaulu mkubwa hivyo jeuri yake ni kithibitisho Cha yeye hakutaki Tena fanya uwezavyo labda kama akiugua ugonjwa Kwa muda mrefu hapo atajikokiJamaa kashashindwa mapema na ubaya hali ikiwa imefikia hapo.Hakuna kitu zaidi ya kukubali kushindwa na kuanza upya.
Kijana anza upya katafute mke unayemmudu.Tafuta GOAL KEEPER.Bora uishi maisha ya kawaida ila ila yenye amani.
Asidhani huyo mwanamke atabadilika.Hapo ndo meshaanza hivyo na hawezi kubadilika kama utatafuta suluhu kwa njia ya DIPLOMASIA.
Kama kijana uliweza kijilipua ukachukua mikopo mara mbili.Jilipue anza kumuacha taratibu kwa kutafuta mke pembeni hata wa ndoa ya mkeka.Mwanaume unabidi ujue kipa siku kwako ni vita.Na mbinu zako hazitakiwi kujulikana na adui.
Kwa faida ya wengi, ni dalili zipi za mwanzo ukiziona kwa mwanamke, utajua kaolewa na wewe kwa sababu ya shida Detective Jfrom uzeofu wangu a girl alikubali kuwa na mtu sababu ya shida. Na dalili utazioka mwanzoni kabisa
Wapo wanaume legelege wanaodhani kumpenda mwanamke basi nikupokea na kufanya kile anataka yeye au kushauri. Hili ni kosa kubwa mno maana hata Watoto wako wataambiwa tu kuwa baba yenu hawazi kuhusu maendeleo nisipomuambia Mimi tufanye hiki yeye Hana habari!!Ambaye atasoma hii komenti na bado akaendelea kukaza fuvu na limkute jambo!!!! Hakuna namna mpigwe tu alahhh,
Code redAnother man down.
Fear women.
For now play low.