Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwisha habar yakoDuuh mbona kama na mimi nimeshaharibu😅😅
Kwisha habar yakoDuuh mbona kama na mimi nimeshaharibu😅😅
Niongezee tu kuwa Na Maendeleo utayapata haraka.Kuoa goal keeper ni nzuri mara 100 asikwambie mtu.Tafuteni magoal keeper mfurahie uanaume wenu.
Mroge au mfanyie fitina afukuzwe kazi atarudi kukupigia magotiMimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Code greenHatari sii mchezo. Hawa kenge nilishasema yaano lengo lao wakipata pesa wamuondoe mwanau.e kwenye maisha yao.
Mke sio wakumpa mtaji ata siku moja. Yeye atulie jikoni apike na usiku apanue mapaja umlenge ndio alicholetwa duniani kufanya
Hii conclusion iko supported na Several Readings😅😅haijawahi kuwa tatizo.
Binafsi mamsap akiniletea pigo za feminism na dharau atapata dawa yake accordingly. Mwanamke anaekaribia 40, soko lake lipo chini sana, hawezi kuniendesha sio kwa pesa wala fame.
Mkuu Wanaume sisi kama tunapenda na tuna Demokrasia tuna amini ktk Ushirikiano. Ndio maana tunawasikiliza Wake zetu.Unaonekana kabisa wewe ni mtu usiye na mipango ndo maana muamuzi mkuu katika maisha yako ni mke wako akakimbia chukua mkopo afanye biashara unachukua chukua tufanye hivi unachukua kama vile zombie
Hii imewapoteza watu wengi hasa vijana wa kileo. Kwa kisingizio cha mahabaMAKOSA MENGI YA VIJANA WA KILEO NI KUDHANI YALE YANAYOONYESHWA KWENYE PICHA ZA KIHINDI,KIFILIPINO NA KIKOREA NDO MAISHA HALISI.
📌VIJANA WANATAKIWA WAFAHAMU KILA SAA KILA DAKIKA UKIWA KARIBU YA MWANAMKE HUWA ANAKUPA MAJARIBU NA BILA KUJUA UKIINGIA MKENGE UMEKWISHA.
😅😅😅😅Ambaye atasoma hii komenti na bado akaendelea kukaza fuvu na limkute jambo!!!! Hakuna namna mpigwe tu alahhh,
Wanaume wazembe na wavivu ndio wanakimbilia kuoa wanawake wafanyakazi au kuwafungulia biashara hawajui wanajipalia makaa ya moto😀😀😀😀Niongezee tu kuwa Na Maendeleo utayapata haraka.
Watu wajifunze kwa kina Mo, Manji, huwezi kukuta Mke wa Rugemalila anapishana Uturk wala Dubai kubeba makontena ya biashara. Unadhani Mabilionea hawana Mitaji ya kuwapa wake Zao?
Mwanaume anahitaji Utulivu ili afanye maendeleo
Mkuu Mbona Umechafukwa? Single mazas wapo toka miaka ya 1960sNa hio ndio makusudi yao hao washenzi walioleta hizo sera ili kubomoa na kuzorotesha taasisi ya familia. Toka hilo swala limekuwa implemented rasmi sasa tunaona matokeo yake live kupitia ndoa nyingi kuvunjika na ongezeko la single mothers.
Mahaba lazima yawatokee puwani mwanamke anakusoma tangu day one.So siku anapofanya finalization hata ulie ugarauke hawezi kubadili msimamo.😀😀😀Hii imewapoteza watu wengi hasa vijana wa kileo. Kwa kisingizio cha mahaba
Kitu pekee usichopaswa kumfanyia Mwanamke ni Manyanyaso/ ukatiri. Vingine ni sehemu ya maisha ya kwenye BibliaWanaume wazembe na wavivu ndio wanakimbilia kuoa wanawake wafanyakazi au kuwafungulia biashara hawajui wanajipalia makaa ya moto😀😀😀😀
Bora kula ugali tembele lenye amani na adabu kuliko wali nyama ya masimango na minuno na malalamiko.
📌📌📌WANAUME RUDINI KUNDINI,MWANAMKE AMEUMBWA KUTUMIA NA KUTUMIKA.KUTAFUTA NA KULA KWA JASHO HIZO NI ROLES ZA MWANAUME ACHENI UVIVU MUISHI KIFALME!!!!
Wanaume na wanawake tunatofautiana kimaumbele na kisaikolojia kamwe hatuwezi kuwa sawa. Impact ya kumpa ajira mwanaume ni tofauti kabisa na impact ya kumpa ajira mwanamke.Na hio ndio makusudi yao hao washenzi walioleta hizo sera ili kubomoa na kuzorotesha taasisi ya familia. Toka hilo swala limekuwa implemented rasmi sasa tunaona matokeo yake live kupitia ndoa nyingi kuvunjika na ongezeko la single mothers.
Unamuuliza vipi leo mbona hujanijibu msg anakwambia sikua na Salio, kwani baby si nilikuomba jana? Wakati huo anachati na anakujibu msg ila ujumbe wako hajaujibu.Mahaba lazima yawatokee puwani mwanamke anakusoma tangu day one.So siku anapofanya finalization hata ulie ugarauke hawezi kubadili msimamo.😀😀😀
Madogo yanaendeshwa na hisia za ngono,badala ya kutumia ubongo vizuri.
Tumemsikia Mama wa Taifa juzi anasema Taasisi zote zinazoongozwa na Wanawake zinafanya vizuri.Wanaume na wanawake tunatofautiana kimaumbele na kisaikolojia kamwe hatuwezi kuwa sawa. Impact ya kumpa ajira mwanaume ni tofauti kabisa na impact ya kumpa ajira mwanamke.
Pole,sijui mnatoaga mto gani hao kenge jamani...Mungu akupe binadamu mwenye uvimilivu na shukraniNdio yalishanikuta kenge yule nimemlisha ananenepa tuu siku nimekosa kibarua eti kenge analitoa limdomo lake mwanaumeume gani huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni....kweli mtu kukulisha na kukuvalisha miaka yote katetereka kidogo tayari kawa mche wa sabuni😡😡😡
Hapana aise nyie ni kenge ikija suala la kutokuwa na shukrana na uvumilivu.
Hajasema wake zenu, kasema mke wake.Sio wote
Wee mwenyewe kahabaSio wote