Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Mambo ya mikipo yanawamaliza sana , usiwe na presha ya maish ,kila jambo nenda nalo taratibu.

Hapo umezaa watoto bila ya mpangilio ,hayo madeni kuna kipindi utaona kama unafanya kazi bure.

Siwezi kujipa stess nimejenga kwanza then natafuta mke wa kuoa ,mambo ya kukopa hapana.
Kukopa Ili Ujenge ni Msitake kubwa sana
 
Pongezi sana kwa kuwa mume na baba bora wala usijione umeanguka bali umeteleza.Ndoa ni watu wawili kama mlivyokaa mkayajenga mkope mfungue biashara, mkoe mjenge nashauri rudini palepale..ndoa ni mawasiliano ndio KUHUSIANA kwenyewe...angalia pale ambapo mlikuwa mnafanya awali kwa sasa mmeacha.Confidence ya mwanaume ni kutawala sasa kama kipato kidogo kinakufanya unyong'onyee muweke chini mkeo muyajenge, maisha ya sasa kutegemea kipato kimoja ni ngumu, mkae msikilizane mvute vipato vyenu ninaamini mtafikia pazuri...Pia ibada ni muhimu, shetani hutumia mlango wowote kuharibu amani, nyoka sio kwamba hakumuona Adam kule Edeni ila alimtumia Hawa huku Adam anashuhudia so jukumu la kulinda mji bado ni lako kama mume..Simama kwenye nafasi yako na everything will fall into place.Talaka sio suluhu
Hii comment imejaa Uongo mwanzo mwisho.

Nasema uongo ndugu zangu?

Mwanamke kaamua kufanya makusudi kwa hiari na akiwa na akili timamu. Hakuna sijui kateleza au kaanguka. Jitihada za braza kama ni za kweli hana sababu yoyote ya kucompromise na huyo Malaya
 
Ujenzi mara nyingi ni swala linalochukua muda mrefu, huenda polepole.

Sasa utakopa mpaka lini?
Ah jamani sii milkion 30 tuu unanyumba yako nzuri unahamia na mkeo. Nyumba nda i ya miezi 3 unahamia
 
Tumemsikia Mama wa Taifa juzi anasema Taasisi zote zinazoongozwa na Wanawake zinafanya vizuri.

Nikafikiria Tasisi ya Dr Tulia nilicheka hadi mbavu zikauma.
Bunge la Tulia limeshuka sana hadhi. Hata wabunge wenyewe sasa hivi nawadharau. Katika makundi ya watu ambao nawadharau baada ya mashoga na feminists wanafuata wabunge
 
Mkuu hii inapingana na Sheria za Wanaume wanaojielewa.

Mwanaume anatakiwa kufocus kwenye personal development yaani ktk Uchumi, Afya, Maarifa na sio kuwekeza kwenye Mbunye
UKISOMA VITABU VYA SEDUCTION AND ATRACTION VINGI VINAFOCUS KWENYE KUJIWEKA KARIBU NA WANAWAKE ILI UWAZOE NA PIA INAKUONGEZEA THAMANI MBELE YA WANAWAKE WENYEWE.

MWANAUME UKIWA NA WANAWAKE AU MWANAMKE NI RAHISI KUPATA MWANAMKE MWINGINE KULIKO UKIWA SINGLE UNAJUA KWANINI MKUU???

JIBU NI KUWA PSYCHOLOGICALY,UNAKUWA TAYARI UMEJIWEKA KATIKA LEVEL OF NEGOTIATION HUNA TAMAA WEWE UNAFANYA KAMA MCHEZO.ILA YULE ALIYE SINGLE ANAKUWA NA PUPA/SOO DESPERATE NA MWANAMKE ATATUMIA MWANYA HUO KUKUADHIBU!!!

So hata kama umefocus na mambo yako unaweza kuwa unawatongoza wanawake sio kwa sex bali kukeep up your skills!!!

Usije ukaacha kutongoza hakuna EXCUSE IN THAT!!!HATA UWE BUSY VIPI ENJOY LIFE🤝


THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR
 
MWANAUME OA GOLI KIPA....PERIOD!!!
kwanini uoe goli kipa ni kwakua by any means huyo utaweza kumuhudumia na naturaly atakuwa chini yako hence amani yako ya moyo ipo garanteed!!!

As MWANAUME UKIWA UNAPANDA THAMANI HAPO NA WEWE UNAWEZA UKAWA UNAPANDISHA LEVEL YA MWANAMKE KWA MBALI SANA.

📌📌MFANO MKUU WA MKOA/ MANAGER SOMEWHERE NA MWALIMU WA VIDUDU TENA YULE MWENYE CHETI KICHAFU😀😀😀BY GODS MIRACLE ONLY NDIO ANAWEZA AKAFURUKUTA AKAKUFIKIA.HII THEORY INAONEKANA KAMA UTANI NA MZAHA ILA WALIOIAPPLY WANAENJOY MAISHA.

📌📌HAMUWEZI MKAOANA MWALIMU KWA MWALIMU AU NESI KWA NESI AU NESI NA DAKTARI AU DAKTARI KWA DAKTARI AU MWANASHERIA KWA MWANASHERIA NA MWANAUME UKAENJOY UANAUME WAKO HUMO KWENYE HIO NDOA.


"Kazi yako ni kula kwa jasho na kazi ya mwanamke ni kuzaa kwa uchungu"tubaki humo🤝

📌📌📌📌HELA YA MWANAMKE HAILIWI,UKIFANIKIWA KUILA HAKIKISHA UNAWEZA KUVUMILIA DHARAU.

UKIONA KUNA WAZEE WAMEACHISHA WAKE ZAO KAZI.UJUE WMETUMIA HEKIMA NA BUSARA ZA HALI YA JUU.USIJIFANYE LOVER BOY, MAISHA TUNAISHI MARA MOJA.PENDA KUFATA KANUNI ZA MAISHA ILI UEPUKE KUWA UNATOLEWA MIFANO KAMA MTU ALIYEFELI!!!
 
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.

Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa

Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.

Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.

Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.

Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.

Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Kumekucha,haya ulitakiwa uyajuwe kabla hujaoa...
 
Msubirie siku ukigundua amegongwa nje muache kabisaa lakini vitimbi vingine wewe vumilia!!!
 
Kama yangu nimekatafutia kazi kamepata kanaleta dharau ooo eti sisi ni marafiki tu hatuna uhusiano wowote wakat kanakuja kanapika kanafua nk
 
Hii comment imejaa Uongo mwanzo mwisho.

Nasema uongo ndugu zangu?

Mwanamke kaamua kufanya makusudi kwa hiari na akiwa na akili timamu. Hakuna sijui kateleza au kaanguka. Jitihada za braza kama ni za kweli hana sababu yoyote ya kucompromise na huyo Malaya
Mawazo mtambuka yanaruhusiwa...sidhani kama kaleta mada ili umtukane mwenza wake afterall hajalalamikia uzinzi, jitahidi kujenga hoja bila kuwa na mihemko..
 
Changamoto ndogo hiyo unawapa kataa ndoa point za mezani?

Mkuu tambua kuwa mwanamke akikuzidi elimu, kipato, umri ni tatizo kubwa. kwahiyo hapo chekecha akili chapu ongeza kipato chako umzidi, mwanamke asili yake ameumbwa kuwa tegemezi
Wasaizi majeuri
 
Back
Top Bottom