Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
ujeuri una chanzo ujueWasaizi majeuri
ujeuri una chanzo ujueWasaizi majeuri
wachache tunazo,wasiokuwa nazo ndo wanalia kama watotoJe hizo akili mnazo?
Hata kumpa talaka uanze upya umeshindwa mkuu?Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
😀😀wachache tunazo,wasiokuwa nazo ndo wanalia kama watoto
OuVaa viatu vya mke wako we ungekua yeye ungemuheshimu mtu anaesema Mshaara badala ya Mshahara?
Nilitaka nijipe likizo ya miezi miwili nisitumie mitandao Ila kwa haya madini yako na mkuu KikulachoChako mmetisha sana📌MWANAUME KATIKA MAISHA YAKO UNATAKIWA UJIANDAE KILA SIKU KUWA IPO SIKU HUYO UNAYEMPENDA ATAACHA KUKUONA WA UMUHIMU.HII DHANA ITAKUJENGEA HISIA THABITI ZISIZOYUMBISHWA NA ITAKUSAIDIA KUJIANDAA MAPEMA KUWA NA MBADALA(OPTIONS).
📌MWANAUME LAZIMA UTAMBUE HUYO MWANAMKE YUPO NA WEWE SIO KISA WEWE UNAMISTARI KUSHINDA WENGINE AU WEWE NI HANDSOME SANA AU SABABU YOYOTE ILE ILA UNACHOTAKIWA UTAMBUE NI KUWA AT THAT PARTICULAR MOMENT KUNA JAMBO HUYO MWANAMKE ANALIFAIDI KUTOKA KWAKO HENCE FORTH MDA UTAFIKA HILO JAMBO LITAISHA AU KUTOKUWA NA UMUHIMU TENA HAPO SASA MUDA WAKO WA KUPEWA REPLACEMENT UTAKUWA UMEFIKA.
📌HIVYO KWA KIJANA AU MWANAUME YEYOTE YULE MWENYE AKILI TIMAMU ANAJUA KUWA MUDA NI MALI.HIVYO KAMA ULIKUWA NA MALENGO YA KUMTUMIA HUYO MWANAMKE HAKIKISHA KIPINDI AMBACHO BADO UNAUMUHIMU KWAKE TEKELEZA YALE YALIOYAMSINGI KWAKO( MATAMANIO YAKO KWAKE).
📌UKIWEZA FANYA MPAKA UKINAI,USIMUONEE HURUMA MUDA KWAKO HAUPO.AKIJA KUKUCHOKA UTALIA SANA ILA HAITASAIDIA KITU.MWNAMKE HANA FADHILA WALA SHUKURANI TEMBEA KILA SIKU UKIJUA HILI NA UTAKUWA UNAFANYA MAMBO KWA KIASI SANA SANA KUJIFURAHISHA NAFSI.
📌WALE WANAOLIALIA NI WALE MABOYA WANAOAMINI KATIKA UJINGA UNAITWA TRUE LOVE.ASALALEEE MUDA WA KUPEWA REPLACEMENT UKIFIKA HUWA WANAACHWA BILA TAARIFA😀😀😀😀 NA HAPO NDIPO WANASHINDWA KUMOVE ON KWASABABU HAWAKUJIANDAA NA NGUVU NYINGI KAMA SIO ZOTE ALIELEKEZA KWENYE KAPU MOJA.
📌📌📌NI MWIKO MWANAUME KUJILIZA UNANYIMWA UNYUMBA PUMBAVU,AU UNAMBEMBELEZA MKEO AKUPE UNYUMBA.UKIFIKA LEVEL HIZI ANZA KUHUDHURIA VIKAO.WEWE JUA HORMONE ZA KIKE ZIMEANZA KUZIDI ZILE ZA KIUME KATIKA MWILI WAKO.
📌📌📌📌📌MWANAUME UNATAKIWA USTAY TOXIC AND DANGEROUS.NO NEGOTIATIONS YANAPOKUJA MASLAHI YAKO.ISHI SERA YA MMAREKANI.HAKUNA KUCHEKA NA WOWOTE MBELE YA MASLAHI YAKO WALA HAKUNA KUBEMBELEZANA NI KUFORCE AU VITA.
📌📌📌📌📌MWNAUME UNATAKIWA UJIPENDE WEWE KWANZA KISHA NAMBA MBILI UJIPENDE WEWE ,KISHA NAMBA TATU UJIPENDE WEWE.BAADA YA HAPO NAMBA NNE WAPENDE WAZAZI WAKO NAMBA TANO WAPENDE NDUGU ZAKO.NAMBA SITA HAPO SASA PENDA MALAYA ZAKO( WANAWAKE ZAKO) NOTE SIO MWANAMKE WAKO....KUNA MANTIKI KUBWA YA KUWEKA WINGI.
MWANAUME MAKE SURE UPENDO WAKO UKO DIVIDED NEVER UMPE MTU MMOJA UPENDO WAKO WOTE.MPENDE KIASI.KAMA HATAKI MUONYESHE MLANGO WA KUTOKEA....PERIOD!!!!
USIJIFIKIRIE MARA MBILI KUTOKA KWENYE MAHUSIANO AMBAYO WEWE MWENYEWE KWA AKILI YAKO UNAONA HAPO SIO.HAKUNA FARAJA WALA KITU KINAWEZA MBADILISHA MWANAMKE AKISHAAMUA.
kUla chuma hicho......let it sink in!!!!!!!
Sasa mkuu wangu bush Dokta una uhakika kwamba mke wa MO huwa hafanyagi press za biashara?Niongezee tu kuwa Na Maendeleo utayapata haraka.
Watu wajifunze kwa kina Mo, Manji, huwezi kukuta Mke wa Rugemalila anapishana Uturk wala Dubai kubeba makontena ya biashara. Unadhani Mabilionea hawana Mitaji ya kuwapa wake Zao?
Mwanaume anahitaji Utulivu ili afanye maendeleo
huku kwetu hakuna prenup bro. Mki divorce mahakama itaamua huyu achukue kipi na huyu achukue kipi. kuna nchi moja ya kiafrika nilikwenda nikapenda maana mnapooana mnapewa fomu ya kujaza ambayo ina kipengele cha kuoana " in community of property" or"" out of community of property". Ninyi wanandoa mnaamua ndoa yenu iweje. Wengi ninaona wanapenda hii ya out of community of property maana mki dirvorce hamna cha kugawana mali. kila mtu anaishia na mali yake.Hivi Tanzania hakunaga PRENUP ??
Umemuona wapi?Sasa mkuu wangu bush Dokta una uhakika kwamba mke wa MO huwa hafanyagi press za biashara?
Kuna foundation moja mwakajana walikuwa wanatafuta vijana wenye proposal bora, yalikuwa mashindanoUmemuona wapi?
Kwa hiyo mnaanza ndoa tu tayari mna mgawanyiko😅😅😅Wengi ninaona wanapenda hii ya out of community of property maana mki dirvorce hamna cha kugawana mali. kila mtu anaishia na mali yake.
Sasa ukaona kwamba anatafuta Ugali wa watoto na Ada za Shule za Watoto wa Mo?Kuna foundation moja mwakajana walikuwa wanatafuta vijana wenye proposal bora, yalikuwa mashindano
Braza unaachaje JFs, zima takatala zote lakini JFs iache kwenye screenOu
Nilitaka nijipe likizo ya miezi miwili nisitumie mitandao Ila kwa haya madini yako na mkuu KikulachoChako mmetisha sana
Jamii forum ni think tank kubwa sana
Sahivi inabidi nirejee Leo mmetema madini, hadi nimerudi home mapema Nile madini yenuBraza unaachaje JFs, zima takatala zote lakini JFs iache kwenye screen
Hiyo kawaida Mkuu, kuna Jamaa hapa kama wiki anadai mke wake karudisha Heshima baada ya Trump kufuta haya mashirka !Ishi nae kwa Akili,nyamaza kuwa bize!Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Ushauri wako ni mzuri lakini utaanzia wapi mtu hana utii, hakuheshimu na anakudharau. Ni raisi kutoa huu ushauri kwa vile hayajakukuta, Wanaume wengi wanaugulia maumivu.Pongezi sana kwa kuwa mume na baba bora wala usijione umeanguka bali umeteleza.Ndoa ni watu wawili kama mlivyokaa mkayajenga mkope mfungue biashara, mkoe mjenge nashauri rudini palepale..ndoa ni mawasiliano ndio KUHUSIANA kwenyewe...angalia pale ambapo mlikuwa mnafanya awali kwa sasa mmeacha.Confidence ya mwanaume ni kutawala sasa kama kipato kidogo kinakufanya unyong'onyee muweke chini mkeo muyajenge, maisha ya sasa kutegemea kipato kimoja ni ngumu, mkae msikilizane mvute vipato vyenu ninaamini mtafikia pazuri...Pia ibada ni muhimu, shetani hutumia mlango wowote kuharibu amani, nyoka sio kwamba hakumuona Adam kule Edeni ila alimtumia Hawa huku Adam anashuhudia so jukumu la kulinda mji bado ni lako kama mume..Simama kwenye nafasi yako na everything will fall into place.Talaka sio suluhu
Mimi nina Ratiba Maalum ya JFs, sina masihara kabisaSahivi inabidi nirejee Leo mmetema madini, hadi nimerudi home mapema Nile madini yenu
Ndugu zangu huwa wananiuliza hivi waga usku mbona hupokei simu ya mtu kumbe muda mwingi usiku nashinda JF alafu Niko addicted kishenzi🙌Mimi nina Ratiba Maalum ya JFs, sina masihara kabisa
Mkuu mengine sawa ila ushauri wa kwenda kutafuta mtu mwingine nje sio sawa. Mkuu, Ngoma inasambaa kwa kasi ya Aston Martin. Asipotumia akili atapukutisha AFYA yake kwa stress na ngoma. Jambo la kwanza afunge zipu ndani na nje ya nyumba, nitarudi kwa jambo la pili, tatu, nne, na la tano.....kawaida hayo mambo mkuu mwanamke anamuweza mwanamke mwenzie tafuta mwanamke mwingine amisha kambi huko then umdhalau na wala usihoji wala kufatilia mambo yake we unachotakiwa piga mashine huko mpk papuchi iwe nyekundu yaan mpk wewe ukinai then rud kwako
ila hakikisha watoto wanakula na wanakwenda shule safi na wala usilale nje hata siku moja bila taarifa ya kueleweka
wewe mpige mzungu wa nne miezi mitatu mfululizo 7bu anajua sio kawaida yako umezoea sana kuihemea papuchi yake atanyooka tu heshima itarudi
mwanamke akishaamua lake hata usemeje hakuelewi ni DUSHE tu ndo ataweza lielewa hasa atakapoona DUSHE lako halina habari nae na mpo ndani wote then wewe umjali wala nini na dhalau. zake na mambo yako yanaenda tena ukute unaelewana vinzuri na wanao mnaongea mcheza mnacheka
lazima ajione fala