Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Kama mbunye anakupa basi vumilia kwa vile mna watoto lakini kama hata mbunye hakupi piga chini fasta usikute yeye ndiye anakuletea nuksi.
 
Mtu anataka kujua vitu asivyoweza kuvicontrol haya mtu ukifa mke wako atakuwa anachapwa na wakulungwa atamegwa mpaka achoke atukanwe cha wote kisha atahamia makanisa ya mikesha huko napo atachapwa mbaya mbovu kisha atarudi nyumbani na kutulia maana atatambua hakuna jipya chini ya jua🥱🥱🥱🥱🥱🥱

Ukweli mchungu wanaume wengi wanakufa bila sababu ya msingi.Watoto na huyo mke kama wameandikiwa wameshaandikiwa ila kama apeche alolo huna nguvu ya kupingana na nature cha msingi ni bora ukafanya kazi kwa nguvu uwaachie urithi mnono tofauti na hapo huyo mke wako zamu yako ikiisha ataitembeza tu utake usitake!!!!
 
Kwa ulipo fikia amna rangi utaacha kuona itafika stage utashangaa kumbe maji nayo yana rangi 😅😅
 
Umeongea vyema mkuu
 
📌MWANAUME KATIKA MAISHA YAKO UNATAKIWA UJIANDAE KILA SIKU KUWA IPO SIKU HUYO UNAYEMPENDA ATAACHA KUKUONA WA UMUHIMU.HII DHANA ITAKUJENGEA HISIA THABITI ZISIZOYUMBISHWA NA ITAKUSAIDIA KUJIANDAA MAPEMA KUWA NA MBADALA(OPTIONS).

📌MWANAUME LAZIMA UTAMBUE HUYO MWANAMKE YUPO NA WEWE SIO KISA WEWE UNAMISTARI KUSHINDA WENGINE AU WEWE NI HANDSOME SANA AU SABABU YOYOTE ILE ILA UNACHOTAKIWA UTAMBUE NI KUWA AT THAT PARTICULAR MOMENT KUNA JAMBO HUYO MWANAMKE ANALIFAIDI KUTOKA KWAKO HENCE FORTH MDA UTAFIKA HILO JAMBO LITAISHA AU KUTOKUWA NA UMUHIMU TENA HAPO SASA MUDA WAKO WA KUPEWA REPLACEMENT UTAKUWA UMEFIKA.

📌HIVYO KWA KIJANA AU MWANAUME YEYOTE YULE MWENYE AKILI TIMAMU ANAJUA KUWA MUDA NI MALI.HIVYO KAMA ULIKUWA NA MALENGO YA KUMTUMIA HUYO MWANAMKE HAKIKISHA KIPINDI AMBACHO BADO UNAUMUHIMU KWAKE TEKELEZA YALE YALIOYAMSINGI KWAKO( MATAMANIO YAKO KWAKE).

📌UKIWEZA FANYA MPAKA UKINAI,USIMUONEE HURUMA MUDA KWAKO HAUPO.AKIJA KUKUCHOKA UTALIA SANA ILA HAITASAIDIA KITU.MWNAMKE HANA FADHILA WALA SHUKURANI TEMBEA KILA SIKU UKIJUA HILI NA UTAKUWA UNAFANYA MAMBO KWA KIASI SANA SANA KUJIFURAHISHA NAFSI.


📌WALE WANAOLIALIA NI WALE MABOYA WANAOAMINI KATIKA UJINGA UNAITWA TRUE LOVE.ASALALEEE MUDA WA KUPEWA REPLACEMENT UKIFIKA HUWA WANAACHWA BILA TAARIFA😀😀😀😀 NA HAPO NDIPO WANASHINDWA KUMOVE ON KWASABABU HAWAKUJIANDAA NA NGUVU NYINGI KAMA SIO ZOTE ALIELEKEZA KWENYE KAPU MOJA.

📌📌📌NI MWIKO MWANAUME KUJILIZA UNANYIMWA UNYUMBA PUMBAVU,AU UNAMBEMBELEZA MKEO AKUPE UNYUMBA.UKIFIKA LEVEL HIZI ANZA KUHUDHURIA VIKAO.WEWE JUA HORMONE ZA KIKE ZIMEANZA KUZIDI ZILE ZA KIUME KATIKA MWILI WAKO.


📌📌📌📌📌MWANAUME UNATAKIWA USTAY TOXIC AND DANGEROUS.NO NEGOTIATIONS YANAPOKUJA MASLAHI YAKO.ISHI SERA YA MMAREKANI.HAKUNA KUCHEKA NA WOWOTE MBELE YA MASLAHI YAKO WALA HAKUNA KUBEMBELEZANA NI KUFORCE AU VITA.

📌📌📌📌📌MWNAUME UNATAKIWA UJIPENDE WEWE KWANZA KISHA NAMBA MBILI UJIPENDE WEWE ,KISHA NAMBA TATU UJIPENDE WEWE.BAADA YA HAPO NAMBA NNE WAPENDE WAZAZI WAKO NAMBA TANO WAPENDE NDUGU ZAKO.NAMBA SITA HAPO SASA PENDA MALAYA ZAKO( WANAWAKE ZAKO) NOTE SIO MWANAMKE WAKO....KUNA MANTIKI KUBWA YA KUWEKA WINGI.

MWANAUME MAKE SURE UPENDO WAKO UKO DIVIDED NEVER UMPE MTU MMOJA UPENDO WAKO WOTE.MPENDE KIASI.KAMA HATAKI MUONYESHE MLANGO WA KUTOKEA....PERIOD!!!!

USIJIFIKIRIE MARA MBILI KUTOKA KWENYE MAHUSIANO AMBAYO WEWE MWENYEWE KWA AKILI YAKO UNAONA HAPO SIO.HAKUNA FARAJA WALA KITU KINAWEZA MBADILISHA MWANAMKE AKISHAAMUA.



kUla chuma hicho......let it sink in!!!!!!!
 
Shida ni watoto na vijana wakiume wa leo hawajafunzwa the real nature of WOMEN behind their beautiful faces and body shapes.

Kijana akijua thamani yake hawezi poteza muda kumkeep mwanamke.Kanuni za kiusumaku na kimahusiano zinataka mwanaume kila mara awe anakuza VALUE yake ili kukeep that magnetic field around him.Hii magnetic field ndio inaatract wanawake na kuwakeep closer.Wanaume wengi wanaingia kwenye mahusiano kwq msukumo wa tamaa ya ngono.Mtu hana kazi,wala mali hana chochote anataka amiliki mwanamke.Hapo lazima utalia tu.

VIJANA UMRI WA MIAKA 20-40 MAKE SURE 98% YA MUDA WAKO TUMIA KUBUILD YOUR FUTURE.FANYA KAZI KWA BIDII JENGA NYUMBA,TENGENEZA MIRADI.UKISHAKUWA NA MIRIJA YA PESA HAPO SASA NDIO MUDA WA KULA VINONO,KULIA KIVULINI.HAPO UTAKUWA HURU NA MAGNETIC FIELD YAKO ITAKUWA NA NGUVU SANA AMBAPO WANAWAKE NDIO WATAKUWA WANAKUFUKUZIA WEWE UNAKUWA UNASELECT TU.

KANUNI MOJA YA MWANAMKE NI AIDHA UWE JUU YAKE( UMEMZIDI KILA KITU) AKUHESHIMU.AU UWE CHINI YAKE( AMEKUZIDI AU MNALINGANA CHEO AU UCHUMI) .KWENYE AKILI YA MWANAMKE HAKUNA NAFASI YA MSAMIATI KULINGANA.KULINGANA KWAKE ANAKUONA KAMA MWANAMKE MWENZAKE.VIJANA TAMBUENI HAYA NA MUISHI KWA AMANI.

MWANAMKE HAKUUMBWA KUONGOZA ACHENI KUCHUKUA USHAURI KWA WANAWAKE ZENU,HAWAKUUMBWA KUVUMILIA SHIDA MAMBO YA TUVUMILIANE TUTAFUTE WOTE KISHA TUKALIE KIVULINI,ANDIKA MAUMIVU.MWANAMKE AMEUMBWA KUTUMIA NA KUTUMIKA.NDIO MAANA WALE WANAOOA WNAWAKE WASOMI WENYE KAZI KWA KIGEZO KWAMBA TUSAIDIANE MAJUKUMU,KIMEWARAMBA.HAKUNA MSAMIATI WA 50/50 KWENYE AKILI YA MWANAMKE NI AIDHA UNAUWEZO WA KUMUHUDUMIA AKUPE ZAWADI YA HESHIMA AU AJIHUDUMIE( AKADANGE)ILA ATAKUPA ADHABU YA KUKUVUNJIA HESHIMA.

VIJANA AMKENI MNASAFARI NGUMU SANA YA KUFANIKIWA LAKINI SAFARI FUPI SANA YA KUENJOY HAYO MAFANIKIO.SO STAY TOXIC KILA SEKUNDE NI MALI.

📌📌📌USITOE ATTENTION KIJINGAJINGA KWA WANAWAKE WANAKUCHUKULIA KAWAIDA NA WATAKUDHARAU.MUDA NI MALI NA TUMIA HUO MUDA NA NGUVU KATIKA KUKUZA THAMANI YAKO.THAMANI YA MWANAUME IPO KATIKA MALI,CHEO,CONNECTION NA AFYA NJEMA.


LET IT SINK IN........ !!!!
 
Mwanaume ili uwe na uwezo wa kukubali kuachika au kumuacha mwanamke( kumove on) lazima uwe na OPTIONS!!!!

Hakikisha ghala lako lina options usikubali ujinga wa kuwa na mke au mwanamke mmoja.Na hili litafanikiwa ukiwa ulijiandaa kwa kukuza thamani yako.

Thamani ya mwanaume ni mali,cheo,connection na afya njema.Muda mwingi 98% wekeza katika kukuza thamani badala ya kuwekeza katika kuwafukuzia wanawake.

Natamani wanaume wote tuwe na mtazamo kuwa NGONO/ SEX iwe ni kama njaa yaani ifikie wakati ujue kuwa huwezi kuimaliza hamu yako ya ngono.Hii itakufanya uichukulie kitu cha kawaida na usiiabudu.
 
Vitu Gani,mkuu ulikua unamfanyia tujuze kidogo
 
Unazungumzia kuhusu jina la I'd yangu Kwa kumaanisha kabisa?

Kazi unayo
 
Ujumbe mzuri sana. Mwanamke akifikia hatua hiyo jua kabisa yupo Tyr Kwa lolote na huwezi muambia kitu maana kashakumudu kitambo majaribio yake yote kwako yamefaulu Kwa ufaulu mkubwa hivyo jeuri yake ni kithibitisho Cha yeye hakutaki Tena fanya uwezavyo labda kama akiugua ugonjwa Kwa muda mrefu hapo atajikoki
 
Ambaye atasoma hii komenti na bado akaendelea kukaza fuvu na limkute jambo!!!! Hakuna namna mpigwe tu alahhh,
Wapo wanaume legelege wanaodhani kumpenda mwanamke basi nikupokea na kufanya kile anataka yeye au kushauri. Hili ni kosa kubwa mno maana hata Watoto wako wataambiwa tu kuwa baba yenu hawazi kuhusu maendeleo nisipomuambia Mimi tufanye hiki yeye Hana habari!!

Kosa hili lazima tu utakuja ulijutie muda wake ukifika hawana ustahimilifu wa muda wote Hawa viumbe.

Biblia iliposema mwanaume ni kichwa Cha familia haikukosea hata kama hayo maneno yangekuwa Nje ya biblia Bado yangebaki kuwa na ukweli 100%


Maana ya kichwa ni hii


Kichwa ndo kimebeba
Macho
Pia
Masikio
Mdomo na ulimi na hata meno
Kichwa kimebeba ubongo na akili ya kufikiri nk

Na Kila kiungo kimoja kilichobebwa na kichwa kina maana kubwa sana.

Macho=> Uwe muonaji wa kwanza

Mdomo=> Wewe ndo uwe msemaji yaani ukisimama kusema siyo mtoto Wala mke wako wote wawe kimya!
(Kumbuka hata Taifa Lina msemaji wake ndo maana halisi ya hapa siyo kila mtu awe msemaji wa familia yako la hasha)

Masikio=>Sikiliza lakini sio lazima ufanyie kazi uliyoyasikia!

Pua=> Uwe jasusi wa familia yako kunusa hatari au mazuri kabla hayajafika kwako na ujihami/kujipanga(hili Lina maana kubwa Hadi mke wako anaanza kuleta dharau wazi wazi hukunusa halufu mapema na kujihami k kama kazi aachishwe biashara ifungwe au iuze nk)

Ubongo=>Ni kupima jambo kabla hujalifanyia kazi liwe zuri au baya.

Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…