Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Usioe mwanamke mwenye mtoto
Usioe mwanamke mwenye elimu ambaye hajaajiriwa ni hatari kuliko single maza.
 
Mkeo kapata jamaa anaichapa vizuri apo ishu sio kipato. Akili ndugu yangu mwanamke ukishindwa kuvuruga vizuri mbususu lazima akiletee dharau tu
 
pole sana mkuu,...ila mimi ni muuzaji wa mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,.... usisite kuniungisha siku ukiyahitaji ndugu yangu 🙏🙏
 
Duh! We jamaa wewe😂
 
******* walioleta feminism na mifumo ya kubeba wanawake ndio waliharibu jamii ,na hilali itazidi kuwa mbaya , kibaya zaidi hii imesababisha mpaka wanawake sikuhizi malezi kwa mabinti wao ni mabovu mno ,total impact ndio hii sasa , kizazi kina majitu ambayo hayafai kuwa mke , takataka
 
Duuh
 
Yupo sawa tu kama umekubali kudharauliwa
 
Mdharau, fanya maisha yako, , ishi nae kwa,akili usimjibu wala kumkalipia, hata akianza kukunyima unyumba tatuta plan b,

Ukimaliza mkopo ,
Chukua mwingine kwa mambo yako binafsi,

Ikibidi mrudishe kwao ajirekebishe kitabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…