Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
 
Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
Mkuu hii nature na haipingwi mwanamke ukimpa uhuru tu kwisha habari yake....angalia hata binti ambapo kwao kuna uhuru pia angalia kijana kama kwao kuna uhuru kisha linganisha ni nani kavuka mipaka yake?

Rudi kwa wazee wetu hawakuwa wajinga kabisa kuoa mama wa nyumbani! mwanamke mfugie kuku awe busy hapo nyumbani na kuku wasizidi wakizidi mwambie hapana imekuwa kero sasa lengo ni ku limit uhuru wake.

Upande wa ushauri mimi mama mwenyewe aliwahi niambia kabisa tena kutokana na kaka alikuwa anapokea ushauri wa shemeji kama huyu jamaa. Na nimeona kwa wengi ukipokea ushauri wa mke wako hasa unaohusu uchumi wa hapo kwenu ukafanikiwa na ukaanza hata kumpongeza umejimaliza mwenyewe.Wenzetu hawana brek mkuu sisemi ushauri usiupokee hapana yaani usiupokee hapohapo na kumpongeza kisha ukaufanyia kazi in direct way hutaenda muda dharau utaiona ....
 
Nampa pole mkeo
 
Upo sahihi sana mwanawane.
Ila sasa kwa nini mkeo asiolewe wee ukifa?
 
Wanaume wenye wake wafanyakazi wakifurahia vipato vya wake zao.View attachment 3275705
Mwanamke akikununulia hata boxer 1 usidhani eti atasahau. Wewe subiri uyakanyage na izuke vulumai hapo vitatajwa vyote mbele ya halaiki ya watu na hutaweza kukumbuka kama kuna siku hukuwa na sadaka kanisani akakupa siku hiyo utakumbushwa "HATA SADAKA NILIKUWA NAMPA HUYU MWANAUME"
 
Mwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
 
Nyieeee😆😆😆🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…