Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Serikali yetu iliangalie hili. Raia tuwe na choice nyingine juu ya hii taasisi inayotesa watu walioingia kwa nia njema. Mwamba kaandika paragraph ya mwisho inachoma moyo kinoma. Mwanetu anapitia wakati mgumu
 
 
Kawaida kejeli za wanawake kama hawa zinatokana na kuonjeshwa pumbu za nje, mwanamke kwenye ndoa akishaliwa huko nje lazima atabadilika tu no matter what. Wanajisahau mno!
 
Unayo hoja mkuu inaweza saidia kuinusuru hii sekta vinginevyo tukiendekeza mpaka kifo kitutenganishe na kweli kitawatenganisha.
 
Nimepata madini. Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…