Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daily lifeWakati wa mizagamuo au daily life?
Atakua ameshahamia CCM huyoWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Nayeye ni wa huku huku jamii forums Sasa majina ndo hayo mkuu Kwa yeyoteWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Mkuu huyo Mahondaw ni mke wako au mbona hatukuelewi kila sehemu una mtag???
Mkuu huyu atakuwa ni member wa JFs, usiwaze huyo ni Great ThinkerWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
😅😅😅huyu jamaa kanichekesha san. Hata kama ni stori aisee jioni yangu nimefurahiHizi ni Chai za jioni. Umeziona Mkuu za JF ukaamua uzitungie stori.
Hahaha Mke kawa Binti ghaflaHuyo uliyemuita mke wako kwenye heading. Ndio huyu Binti unayemzungumzia?🤔
🤣Ni binti au ni mkeo?
muombe Mixx by YassWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Umeoa mwana Jf huyo😁😁😁Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Kipindi namtongoza alikua ananiita bro.Kabla alikua anakuitaje?
Akianza kusema ARIF umtimue tu.Wanabodi hii hivi iko sawa.