Mke wangu hajali familia

Pole mkuu
Kabla ya ndoa kunakuchunguzana tabia kwanza halafu inafatia ndoa

Mkuu kwenu ilikuwaje au ulikubaliana na hiyo hali yake ya uvivu ukajua labda mkiingia kwenye ndoa atajirekebisha nakupa pole tena kwa mara ya pili huyo sio mvivu tu mpaka uchafu anao watoto pia masikini hawaogeshwi
 
Mpandishe cheo awe mke mkubwa.
 
Kuwa makini anaweza kuwa mchawi huyo, siku ikifika zamu ya kutoa nyama ataanza kuwala mmoja mmoja...
 
ACHANA NAE WANAWAKE WAPO WENGI.... ALAFU SI KILA MWANAMKE ANASTAHILI KUOLEWA KAMA HUYO WAKO
 
Sikuhizi kuna baadhi ya wanawake asilimia kubwa wamekuwa hovyo hawajali familia wala malezi na Wana act ka ma slay queen Bora mtu ka hujali watoto usizae tu.
Ndio hapo huwa najiuliza, kama unajijua huna muda wa kulea unazaa ili iweje?
 

Mwambie mke wako NDOA SIO SEX PEKE YAKE, tena aache ujinga

Aache kuaibisha wanawake wenzie huku

Halafu na wewe Mwasapile acha upole, hiyo yako imezidi sasa

Kha!
 
Jamaa kaoa mwaarusha huwa ni wajeuri hatari hao, Sasa hapo lazima Kuna maneno kashalishwa tayari, ila mke asiyehudumia watoto kwA chakula huyo hafai na ni mgonjwa wa akili let's assume huyo baba hayupo duniani watoto si watakuwa machokoraa.
N. B wanaume sio kila shimo ni lakuoteshea mahindi mengine hatari ona mnavotesa watoto
 
Ata kama mume amekusea vipi huwezi kuacha kuwaogesha watoto uliowazaa mwenyewe...huu ni uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi umeelezea tabia ya hasira na namna ya kuishi na mtu mwenye hasira, pengine kuna kitu ulimkose na hasira yake akapelekea kwa watoto mkuu. Kama mwanzo alikua anawaogesha ikawaje tena ghafla hawaogeshi!
 
Kuna uzi umeelezea tabia ya hasira na namna ya kuishi na mtu mwenye hasira, pengine kuna kitu ulimkose na hasira yake akapelekea kwa watoto mkuu. Kama mwanzo alikua anawaogesha ikawaje tena ghafla hawaogeshi!
Daah i don't get it kwa kweli..

Basi wanawake wenye hasira za hivyo hawapaswi kuolewa..maana wanaweza kuwaua njaa watoto kisa kamkasirikia mumewe..

Sio wanawake wa kuolewa hawa..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah i don't get it kwa kweli..

Basi wanawake wenye hasira za hivyo hawapaswi kuolewa..maana wanaweza kuwaua njaa watoto kisa kamkasirikia mumewe..

Sio wanawake wa kuolewa hawa..



Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua huwa wanaangalia hivyo basi na Sisi wanawake tungesema huyu anakunywa pombe sio wa kuolewa nae, mkuu ungejaribu kukaa nae chini utatue tatizo yani mtu asiogeshe watoto wake mwenyewe tu bila sababu? Kuna vitu itakua vimejaa moyoni mwake
 
Mkeo atakua very kibongisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mvivuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…