Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Hili povu hili..hata omo ikasome..pole sana hela za mwanaume unataka ila mtoto wake hutaki acha roho mbaya...

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Fukuza huyo chatu hapo ndani...mke sio nduguyo watoto ndio nduguzo hata kama kakuzalia watoto mia lakini kukuacha na kwenda kuolewa na kukutenda ni kitu kidogo sana. Mimi nina watoto wawili nikasema ngoja nikuze kwanza kids wangu ndio niingize balaa ndani. Hata hivyo nawaza kuongeza watoto tu kuliko kufuga mtoto wa mwanaume mwenzangu. Ukicheza nae atampa sumu.
 
Mtasema yote lakin mtoto pia ana haki ya kuishi Na baba yake,hamuwezi inabidi mtafute wanaume ambao hawana mtoto kabisa,lakin unaenda kuwa Na mtu unajua ana watoto!! mtoto anabana nini acheni uchoyo leeni watoto
 
True African women..acha na hao makahaba wa mjini..wasio jua thamani ya watoto..chakushangaza hela ya wanaume wenye watoto yanazikodolea mimacho..mi jambazi ilo shindikana hiyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
Tatizo lipo kwa tabia za watoto kama wanatabia nzur na mumeo akashirikiana nawew vzr katika kuwaongoza hao watt mbona hakuna mbaya. Ila wengine asili yao tu roho mbaya hivyo tusishangae
 
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
Unadhan sasa hivi wanasema msemo huo zaid yakuanza kuwataka kimapenzi nakutembea nao kama niwakike watawaingilia kinyume na maumbile nayote sabb yachuki zao
 
Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
Kupenda na kulea kwa ghalama zako au kwa kuishi nao kama mama wa nyumbani?
 
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
Wanaweke inakuwaje una lazimisha mwanao alelewe na baba mwingine wakati Baba yake yupo hai na ana chapa kaz tena husikute baba mtoto ana uwezo wa kiuchumi kmzidi baba wakambo
 
Kama angempenda kama mwanae ndiyo ingekuwa habari ila kwa sasa kinachotokea ndiyo uhalisia wa mambo.

Watoto wa kambo wenyewe wanajazwa chuki na uhasama kwa Mama zao wa kufikia.
 
Kama mama yake yuko hai na hajaolewa kwingine tafadhari mpeleke mtoto kwa mama yake,utakachofanya ni kupeleka fedha ya matunzo ili mtoto naya awe na amani.
Uchungu wa Mwana anaujua Mama,Mama wa Kambo si mama!
 
Unadhan sasa hivi wanasema msemo huo zaid yakuanza kuwataka kimapenzi nakutembea nao kama niwakike watawaingilia kinyume na maumbile nayote sabb yachuki zao
Hapo ndipo shetani huwa anasimama pembeni nakutoa macho kwa mshangao mkubwa.
 
Wanaweke inakuwaje una lazimisha mwanao alelewe na baba mwingine wakati Baba yake yupo hai na ana chapa kaz tena husikute baba mtoto ana uwezo wa kiuchumi kmzidi baba wakambo
Anayelazimisha nani sasa hapo?
 
Kama angempenda kama mwanae ndiyo ingekuwa habari ila kwa sasa kinachotokea ndiyo uhalisia wa mambo.

Watoto wa kambo wenyewe wanajazwa chuki na uhasama kwa Mama zao wa kufikia.
Hicho ndio kitu kinawapelekea kuogopa watt wamekuwa waongo na Tabia za ajabu wakipewa fursa wakaonane na mama zao wazaz wanakuja na tabia nyingin mbovu mwisho wa yote nikimuharib mtoto akili
 
Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
Hata akiwa anazalisha huko kila kukicha analeta nyumbani wewe kazi yako nikulea tu! Au unamaanisha nini?
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Mwanamke ambaye anaweza kuchukia wazazi wako walio kuzaa kweli unafikiri anaweza kumpenda mtoto uliyezaa nje ya ndoa? wewe una shida kabisa....wewe utakuwa uongelei wanawake wewe hahahaha
 
Mtoto wa mume wangu aliyezaa nje kabla ya kunioa na nikamfuata kwa bibi yake tukaishi naye na alikuwa sababu ya kuvunja ndoa na hata baada ya baba yake kufariki bado anasumbua

Next week naenda kwenye kesi.

It's better kujihami mapema. Kila mtoto akae na mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…