Sikweli kaka kuna wapo wanawake wanaonyesha upendo mkubwa tu kwa watoto wa waume zao. Tatizo huwa lipo kwa watoto wenyew kuwa waongo kupindukia na kuleta uchonganishi sasa ukute mama yake karuhusiwa kuja kumuona bac akifika atamjaza maneno ya uongo huyo mama yake nakupelekea kuzuka ugomvi mkubwa kati ya wanandoa.Ukweli mchungu ni kwamba, hakuna mwanamke anaempenda mtoto asiye na nasaba naye. Tena hasa hasa mtoto ambaye mama yake mzazi bado yupo hai. At least ambaye mama yake alishafariki anaweza kuwa na upendo nae.
Unadhan kwa kitendo hicho huyo mama wakambo ataendlea kuonyesha upendo wwt zaid yakukuangalia