Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Duniani mkuuUpo Wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani mkuuUpo Wapi
Mwanzo mzuri wote muwe bila bila au wote mshafunga mabao.Ndio tatizo la kuingia kwenye ndoa 1-0, mwenzako alishashinda mechi zake we unaanza game yeye yupo ahead kwa goli moja.
Match Za Kushinda Lazima Zipigwe Kwa MkapaDuniani mkuu
Na hapo huyo ulimpata kabla ya ndoa! Je, ukichepuka na kumpata wa ndani ya ndoa si anaweza kumuua kabisa!! Hafai. Ana roho mbaya. Na kwa nini amchukie mtoto. Mtoto ana kosa gani? Kama ana chuki kweli basi anatakiwa akuchukie wewe.Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah huo mtihani na vile baba ana mkingia kifua na jeuri yake nisingehangaika naye vitu vingine huwa ni kutesana na kupeana lawama, Mimi ka huyo na ujeuri wake simtaki asije haribu wanangu na tabia zake na WA hvo analishwa sumu ya baba na mama.Mfanyakazi mwenzangu aliletewa mtoto wa kambo. Mtoto kaja na tabia zake.
Mtoto ni noma, akimuona baba yake tu analilia chakula kilichopo jikoni hata hakijaiva.
Baba wa mtoto anamuuliza mke wake "mbona hao watoto wako hawalii njaa huyu ambaye sio wako ndio analia?" Dada wa watu inabidi amchotee mtoto chakula hata kikiwa kibichi.
Akitaka kununulia watoto wake kitu kama hana hela ya kutosha kumnunulia na huyo wa kambo anaona bora aache, hata kama ni mswaki.
Kuwalazimisha walale mchana sasa, alazimishe wa kwake tu huyo mwingine akilazimishwa anaonekana anateswa. Kwahiyo watoto wa huyo dada wakitoka shule wanapumzika, wa kambo anaenda kupuyanga mtaani.
Kuna ile hali ya kumcontrol mtoto asile sana , au asile vyakula vya aina fulani sana. Haloo utacontrol wa kwako tu usithubutu kumcontrol wa kambo umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa huyu dada watoto wake anawawekea chakula cha kawaida, halafu huyo wa kambo sasa anajaziwa chakula kama cha kula watu wa 5. Ukimuuliza kwanini anasema "ukimpa kidogo baba yake anaona unamtesa".
Huu upuuzi mimi kamwe siwezi kufanya, ukiniletea mtoto, nitamlea kwa namna ninayoona mimi inafaa na usiingilie. Tofauti na hapo mwache alelewe na mama yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umewapiga na kitu kizito.
CarihaNazaaje kijinga hapo mpaka ndoa na ukiniachia nakubwagia watoto utafte mke desperate wa ndoa akulelee watoto wako
Uko sahihi mtoto wa kambo ni heri yule uliyeletewa akiwa mchanga na mama kafa, ila toto kubwa halafu mamake awe mkorofi lazima awe mwiba na sumu kwenye ndoa yakoNapenda sana watoto lkn kuna watoto wameshapandkizwa ushetani kias kwamba wanakuja kuwa mwiba wa moto kweny maisha ya ndoa, mtt wa wenyewe unashndwa hata kumkaripia maana unaonekana unamkaripia kwa kuwa s wako.
N kweli kuna watu wanaotesa watoto wa wenzao, lkn kuna asilimia fulan ya mama wa kambo wanateswa na hao watt mpk ndoa znakua chungu.
Skatai una mtoto/watoto waachwe kwa mama zao watunzwe na kuwafunza maadili wakiwa kwa mama zao wazazi, na s vngnevyo.
Nimekua sana with good life experience za kutoshaDogo hujakua
[emoji23][emoji23]wewe ndio una roho ngumu nilikutuma ukatombe hovyo then uniletee mwanao nilee why starehe zako zitese wengine, Yani kulea watoto wasio kuhusu Mimi ni ophanage centre [emoji23][emoji23][emoji23] huo mda wa kulea heri nitafte hela kwa bidii nijipe furaha na vacation sehemu kubwa ka Hawaii, Maldives na kwingineko sio kujitia mama huruma never. Jifunzeni kuwe responsible na matendo yenu tena nyie ndio mnaozaa majambazi na chokoraa maana mnashindwa kulea watoto kazi yenu ni kufunua tu chupiHana unafiki ni roho nyeusi imemjaa tu,sasa mtoto usiyemzaa wewe ukimlea ipasavyo unapungukiwa na nini?
Uko sahihi kabla ya kuleta watoto jamani tufikirie na hatima zao na malezi hasa kwa dunia ya Sasa watu wengi upendo hamna na majukumu ya kutafta hela ikiwa kipaumbele.Nikifikiria ninavyonyoosha watoto kwenye mstari,mtu akiniletea watoto wake si ataona nawanyanyasa[emoji1787],kumbe wala!
Kila mtu ashinde na mechi zake.
Hivi Mimi mfano nafanya kazi I want to spoil my kid's na vitu vizuri then nisiwanunulie eti kisa mtoto mwingine atanuna huku mama yake alimkimbia na hajawahi mnunulia mwanawe hata chupi yet mimi mke halali nilaumiwe kuwa ni mchoyo na mbinafsi Kwa vitu visivo ni husu kweli?Nanukuu:-
Ndugu Zangu Ukiwa Na Chakula Chako Kitamu Huwezi Kumpa Mtoto Wa Jirani Utampa Wako Kwanza
---------'xxx-----------------------------
Kauli Hii Aliitoa Mzilankende Mnyago Wakati Wa Uhai Wake
Ndugu Zangu Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji23][emoji23][emoji23] hafu unategemea kuwa na fair match kweli?Ndio tatizo la kuingia kwenye ndoa 1-0, mwenzako alishashinda mechi zake we unaanza game yeye yupo ahead kwa goli moja.
Mtoto kwao ni kwa baba siyo kwa MamaKila mtoto akae kwao
Nyie ndio wale wachawi mnaoua watoto wa wenzenu kwa sumu na vipigo.Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.
Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.
Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho mbaya gani zaidi ya nyie mnaozaa hovyo nakutesa watoto bila plan Kwa ku force wanenu wapendwe kinguvu!?
[emoji23][emoji23][emoji23] hafu hawataki kuoa single mother Ili ndoa iwe droo wao wanataka ambao hawajazaa waanze kusema hupendi watoto wakeMwanzo mzuri wote muwe bila bila au wote mshafunga mabao.
Mambo ya kubebeshana mizigo, mwenzio ashatangulia hatua nyingi mbele halafu mnaanza kulaumiana hayafai.