Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Nikweli na inatakiwa mzaz wakiume umlete mwanao akiwa ana jitambua kuanzia Elimu ya secondary
Sio kujitambua ni heri kuanza kulea mtoto mchanga inakuwa ni rahisi kuliko huyo mkubwa ambaye ameathirika kisaikolojia haleleki tena maugomvi ya wazazi yamemharibu akili na watoto wa sikuhizi jinsi walivo sio rahisi kiukweli na sikuhizi watu kuzaa zaa hovyo ni fashion, mkaka kazaa na wanawake wa nne tofauti anakuja kuoa mtu hana mtoto amsaidie kulea watoto wa baba asiye na self control same applies na kwa single mom hyo ni kutesa watoto na kuja kulaumu wengine kuwa hapendi watoto wako.

Turudi kwenye maadili zamani ilikuwaga marufuku kuzaa bila ndoa na watoto walilelewa na wazazi hakukuwa na shida, ila sikuhizi umalaya na kuzaa hovyo ni sifa why uhurumiwe kwa kuleta mtoto bila kujipanga!?

Tuache kutesa watoto kwA umalaya wetu
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?

Mama wa mtoto yu wapi?
 
Dah nyie humu si huwa mnaponda single mom na hata kulea upendo huwa hauwi sawa na baba mzazi never on earth
Kinachopondwa na kuchukiwa Ni tabia za wanawake husika.

Sio mtoto,
Sijawai sikia au kuona mwanaume anamchukia mtoto wa single mother Hata sikU moja.

Wengi wanaoishi na single mother, wanalea effectively watoto wao.
 
Ni wewe TU na roho mbaya yako,
wangapi tumelelewa vizur Tena kwa upendo na mama wa kambo?
Heri niwe na roho mbaya kuliko hao wanao wanafikia Ili wapate ndoa huku moyoni hawataki, Yani uzae unibwagie mwanao huku mama anakula raha toto lenyewe liwe korofi jamani never, Yani natafta hela huku na share na mtoto wa mama mwingine anayekula raha huko jinsi ulezi ulivo tabu kwa kweli nitakuwa busy na mambo yangu ubepari hauhitaji huruma wallah
 
Unakosea sana dada angu, unamchukiaje mtoto malaika tu asiye na hatia?

Au unadhani alipenda kujizaa Yule?

Yule kaja kwa upumbavu na uzembe wa mume wako.

Hizo chuki ungepeleka kwa mumeo au mwanamke mwenzake aliekutelekezea wewe majukumu ya kule.

Kumchukia mtoto,
Unajitengenezea dhambi ata kwa mungu wako.
 
Wao kila siku wanawaponda single mama humu halafu wao wanataka tuwalelee watoto wao.
Ni kibarua kigumu mno,,
Tuache unafiki,,lazima ubaguzi uwepo.
Bora useme wewe ila kwa tunayoona tu hata kwa wengine kulea mwana asiye wako shughuli pevu tena Hawa wanaume wanavozaa hovyo watakuletea team ya mipira ulezi ulivo na shughuli pevu humu, hao hao wanazalisha single mom na kuwatukana humu, wakitaka kuoa wanaoa asiye na mtoto ka si ubinafsi ninj?

Mimi niwe mkweli sijazaa ila nikizaa useme niache kupenda wangu nipende mwingine asilimia 100 ni ngumu Sara wa bible mwenyewe alimfukuza kijakazi wake hajira sembuse sie
 
Unamchukiaje mtoto malaika tu asiye na hatia?

Au unadhani alipenda kujizaa Yule?

Yule kaja kwa upumbavu na uzembe wa mume wako.

Hizo chuki ungepeleka kwa mumeo au mwanamke mwenzake aliekutelekezea wewe majukumu ya kule.

Kumchukia mtoto,
Unajitengenezea dhambi ata kwa mungu wako.
Mimi nimchukue mtoto wa nini kwani wangu kinichonichosha na huyo mwanaume ku force mwanamke ampende mwanawe kinguvu eti kisa tuna upendo naye nipende na kisicho ni husu.

Nimekutana na wewe ku enjoy life mambo ya zinaa zako zinanihusu nini Mimi, nikitaka mtoto nazaa wangu, ulezi ni kazi ngumu,mie badala niwaze kutafta hela na career yangu na mapenzi niwaze ulezi wa mtoto asiyeni husu huo si ujinga.

Baba njoo tule raha na mie starehe zako za kuzaa hazinihusu kuja Kuni force force.
[emoji23][emoji23][emoji966]Kila mtu ashinde match yake wallah
 
Naweza elezea through experience, Mwanaume hana KEY ya ufumbuzi wa kila tatizo hasa kwenye malezi au mahusiano manake ni complex issues.Nimeshuhudia wanaume STRONG,WISE,COMPETENT wakishindwa kirahisi kwenye hayo mambo.
Mkuu una familia? Tuanzie hapo kwanza.
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Mahusiano aliyokuja kuyaenjoi yanakuja na full package( mtoto)...kwaio ni part and parcel
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Hapa tu ndipo ninapokupendea. Hauna unafiki kwenye ukweli.
 
Bora useme wewe ila kwa tunayoona tu hata kwa wengine kulea mwana asiye wako shughuli pevu tena Hawa wanaume wanavozaa hovyo watakuletea team ya mipira ulezi ulivo na shughuli pevu humu, hao hao wanazalisha single mom na kuwatukana humu, wakitaka kuoa wanaoa asiye na mtoto ka si ubinafsi ninj?

Mimi niwe mkweli sijazaa ila nikizaa useme niache kupenda wangu nipende mwingine asilimia 100 ni ngumu Sara wa bible mwenyewe alimfukuza kijakazi wake hajira sembuse sie
Hata mimi niwe tu mkweli,akija single baba hicho kibarua cha kumlelea mtoto wake aisee Bwana Mungu aingilie kati.
Kinachoshangaza single father wanawaponda single maza humu halafu wanategemea waje kuoa wasio na watoto ...halafu wanataka hao wasio na watoto wawapende watoto wao.

Single father wapambane tu na waliozaa nao, kuliko kuja kuwatwisha mizigo mabinti wa watu kwa makosa yao wenyewe ya kuzaa hovyo.

Eeh hata Sarai alimfukuza Hajir kijakazi,
Kulea bila ubaguzi nadhani wanaweza malaika tu.
 
Atajiju Mimi sihangaiki na mwanawe aisee tena awe hasikii siongei ng'o ulezi ni full time job, so usije kwangu Ili nikusaidie kulea it won't work
Itakua haujapenda...mbona ukikamatika unalea mtoto..una mtawaza, unaenda nae shopping..etc..
 
Sababu zinazoweza palakea usingle father ni nyingi zaid ya unavyofikria. Na mtu anaposema anaitaji upendo kwa mtoto wake haina maana huyo muolewaji ampende mtoto wake wa kambo sawa sawa na anavyo mpenda mme wake la hasha bali anaitaji kuona mtoto akilelewa kama mtoto, wam-treat kama mtoto tena mtoto wake wa kuzaa na sio kuonyeshea chuki ambayo itamjenga mtoto vibaya, kama ni kuadhibiwa bas aadhibiwe kama mtoto nasio kifanyiwa violence, nk.sio hvyo unavyo sema usifananishe familia na maisha ya uboyfriend na girlfriend, familia inajengwa na more love than romancy (sina maana romantic moments zife)

Wewe ni binadam usifananishe na kuku ndio maana uwez kubar baba au ndugu yako akupande kisa kuku wanafanya hvyo
Ndugu, mtoto wa kambo hata ukimgombeza unaonekana ni kwa sababu sio wa kwako, wakati hata mtoto wako ungeweza kumgombeza hivo hivo na ikaonekana sawa.

Kulea mtoto wa kambo ni kipaji, sio kila mtu anaweza huo uvumilivu.
 
Sasa unachokosea ni kumlazimisha mtu kuwa na hisia kama zako. Usitumie kipimo cha yeye kutokumkubali mtoto wako kama kipimo sahihi cha mapenzi kwako.

Huyo mwanamke hakuja hapo kumsaidia mwanamke mwenzake kulea mtoto amekuja kujenga familia mpya na wewe. Yaani mpate watoto wenu. Hiyo kulea mtoto wa mke mwingine ni ziada au bonus tu.

Sasa fanya hivi hebu kwanza acha kumlazimisha yeye kumkubali mtoto wako. Mchukue huyo mtoto mpeleke kwa mama yako mzazi au ndugu yako wa damu au mpeleke kwa upande wa mama yake mzazi akatulie kwa muda huko ukiendelea kumlea.

Tenga muda kila baada ya muda fulani mfano kila baada ya wiki mbili au kila weekend mtoto awe anakuja na akifika wewe ndie uwe busy nae kumhudumia. Ila usiache kutoa attention kwa mkeo unapokuwa na mtoto.

Watoe out pamoja mtoto na mkeo kisha jenga mazingira ya mkeo na mtoto wasomane tabia na kubond taratibu. Hii acha ichukue muda hata kama ni miaka. Mtoto na mkeo watazoeana taratibu hadi ipo siku utasikia mkeo anamuulizia mbona fulani haujamleta wiki hii.

Usipende kumpa mwenzako "emotional pressure" sababu ya namna wewe unataka iwe.Unapomleta mtoto wako wa nje kwa mkeo ni kama kumtangazia vita sababu anajua huyo mtoto ana mama yake ambae ni mzazi mwenzio so mtoto anaweza waleta karibu, lakini kuna maswala ya mali katika ndoa huwa mwanamke anakuwa na hofu kuwa mali anayochuma na wewe mwanamke wa nje yaani mama mtoto anaweza jimilikisha kupitia huyo mtoto kama akikubali awe sehemu ya familia. So kuna mambo mengi ambayo yanakuwa yanampelekesha anashindwa kuwa sawa kifikra ndo maana unaona anaamua kumind mtoto.

So don't take personal na ukahisi kwa haraka haraka kuwa mkeo ni mtu mbaya kwako.
 
Sababu zinazoweza palakea usingle father ni nyingi zaid ya unavyofikria. Na mtu anaposema anaitaji upendo kwa mtoto wake haina maana huyo muolewaji ampende mtoto wake wa kambo sawa sawa na anavyo mpenda mme wake la hasha bali anaitaji kuona mtoto akilelewa kama mtoto, wam-treat kama mtoto tena mtoto wake wa kuzaa na sio kuonyeshea chuki ambayo itamjenga mtoto vibaya, kama ni kuadhibiwa bas aadhibiwe kama mtoto nasio kifanyiwa violence, nk.sio hvyo unavyo sema usifananishe familia na maisha ya uboyfriend na girlfriend, familia inajengwa na more love than romancy (sina maana romantic moments zife)

Wewe ni binadam usifananishe na kuku ndio maana uwez kubar baba au ndugu yako akupande kisa kuku wanafanya hvyo
Si akampeleke mtoto kwa bibi yake mzaa mama au mzaa baba.
 
Sasa unachokosea ni kumlazimisha mtu kuwa na hisia kama zako. Usitumie kipimo cha yeye kutokumkubali mtoto wako kama kipimo sahihi cha mapenzi kwako.

Huyo mwanamke hakuja hapo kumsaidia mwanamke mwenzake kulea mtoto amekuja kujenga familia mpya na wewe. Yaani mpate watoto wenu. Hiyo kulea mtoto wa mke mwingine ni ziada au bonus tu.

Sasa fanya hivi hebu kwanza acha kumlazimisha yeye kumkubali mtoto wako. Mchukue huyo mtoto mpeleke kwa mama yako mzazi au ndugu yako wa damu au mpeleke kwa upande wa mama yake mzazi akatulie kwa muda huko ukiendelea kumlea.

Tenga muda kila baada ya muda fulani mfano kila baada ya wiki mbili au kila weekend mtoto awe anakuja na akifika wewe ndie uwe busy nae kumhudumia. Ila usiache kutoa attention kwa mkeo unapokuwa na mtoto.

Watoe out pamoja mtoto na mkeo kisha jenga mazingira ya mkeo na mtoto wasomane tabia na kubond taratibu. Hii acha ichukue muda hata kama ni miaka. Mtoto na mkeo watazoeana taratibu hadi ipo siku utasikia mkeo anamuulizia mbona fulani haujamleta wiki hii.

Usipende kumpa mwenzako "emotional pressure" sababu ya namna wewe unataka iwe.Unapomleta mtoto wako wa nje kwa mkeo ni kama kumtangazia vita sababu anajua huyo mtoto ana mama yake ambae ni mzazi mwenzio so mtoto anaweza waleta karibu, lakini kuna maswala ya mali katika ndoa huwa mwanamke anakuwa na hofu kuwa mali anayochuma na wewe mwanamke wa nje yaani mama mtoto anaweza jimilikisha kupitia huyo mtoto kama akikubali awe sehemu ya familia. So kuna mambo mengi ambayo yanakuwa yanampelekesha anashindwa kuwa sawa kifikra ndo maana unaona anaamua kumind mtoto.

So don't take personal na ukahisi kwa haraka haraka kuwa mkeo ni mtu mbaya kwako.
Hata mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzake vyema bila ukakasi siyo jambo rahisi kabisa
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Mke wa hivyo unamzalisha na yeye then unamuacha ndyo atajifunza kua mtoto wa mwenzio ni wako pia
 
Back
Top Bottom