Sababu zinazoweza palakea usingle father ni nyingi zaid ya unavyofikria. Na mtu anaposema anaitaji upendo kwa mtoto wake haina maana huyo muolewaji ampende mtoto wake wa kambo sawa sawa na anavyo mpenda mme wake la hasha bali anaitaji kuona mtoto akilelewa kama mtoto, wam-treat kama mtoto tena mtoto wake wa kuzaa na sio kuonyeshea chuki ambayo itamjenga mtoto vibaya, kama ni kuadhibiwa bas aadhibiwe kama mtoto nasio kifanyiwa violence, nk.sio hvyo unavyo sema usifananishe familia na maisha ya uboyfriend na girlfriend, familia inajengwa na more love than romancy (sina maana romantic moments zife)
Wewe ni binadam usifananishe na kuku ndio maana uwez kubar baba au ndugu yako akupande kisa kuku wanafanya hvyo