Dalili ya kuongozwa na mwanamke hiyo.Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.
Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.
Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
Ni sawa ni mwanamke aliyekosa hekima ndio anakuwa na hizi tabia! Oeni wanawake wa mithali 31🤝🏽Hii ndio ile nilisema kua "Mke kujua kipato chako ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui"
Mkeo alisha kusoma udhaifu wako toka mwanzo,hukusimama kama kiongozi wa familia,japo bado unayo nafasi ila inaonekana too late.
Seran
Mwanamke wa mithali 31Ni sawa ni mwanamke aliyekosa hekima ndio anakuwa na hizi tabia! Oeni wanawake wa mithali 31🤝🏽
Kama ni kweli itapendeza zaidi Bwashee,huku Snow inashuka ya hatari.Ukute Seran ndio huyo mwanamke wa mithali 31🤔
Kiumbe kama huyo ni wakumfukuza....hana malengo nawewe,Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.
Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.
Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
It will be just a matter of time. Mke smart anaweza jua income yako hata ufiche vipi. Issue siyo mkeo kujua kipato au fedha ulizonazo. Suala ni je mkeo ana busara? Mkeo kuwa kimeo ndo mzizi wa tatizo. Na kama unaogopa mkeo kujua kipato chako kiasi hicho basi mpe talaka tu.Hii ndio ile nilisema kua "Mke kujua kipato chako ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui"
Mkeo alisha kusoma udhaifu wako toka mwanzo,hukusimama kama kiongozi wa familia,japo bado unayo nafasi ila inaonekana too late.
Seran
Nilishayasema yote haya jana ila kuna watu humu humu wakaniona mimi km fala fulani vileHana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.