Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.

Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.

Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
Sawa mkeo hana bajeti,lakini je hili ni suala la kulileta hapa?Je mayatizo yoyote ya ndoa hitatuliwaje?Kwani mlioana kwa dini ipi? Au kwa njua gani?Tumia njia zinazofaa kutatua matatizo ya ndoa na kama huwezi njoo inbox mie najitolea kuwasuluhisha
 
Hawa waliopo kwenye dini na jamii yote kwa ujumla ndio wapo humu.
 
Watu wanaukimbia umasikini wewe unalala nao ndani.
 
Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.

Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.

Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
Ila haya maisha, enewei
Pole sana
 
Ukipata pesa si lazima kumshirikisha mke wako kwamba kimepatikana kiasi fulani.

Kama mwanaume lazima uwe na akiba ambayo mkeo haijui.

1. Tunza fedha zako za dharula angalau mil 3 kwenye account ambayo mke wako haijui. Hii ni hela ya dharula tu. Binadamu tumeumbiwa majanga huwezi jua. Hii hela utaichukua tu kama kuna dharula. Iache huko hata ikae miaka 8 si mbaya. Sana sana unaweza ukawa unaiongezea kidogo kidogo.

2. Baada ya kuwa ana account ya dharula. Fikiria investment. Mkeo unaweza kumshirikisha lakini si kumwachia yeye ndo afanye. Wewe ndo ufanye. Usimshirikishe kwenye usimamizi. Jizatiti mwenye.
3. Vyakula nunua mwenyewe. Nenda sokoni nunua weka ndani jaza friji.
4. Mkeo mpe hela ya matumizi madogomadogo ya nyumbani, pesa yake ya kusuka na kununua vitu vyake. Umpe angalau kama laki kila wiki.

Mtaishi kwa raha.
 
Ukipata pesa si lazima kumshirikisha mke wako kwamba kimeolpatikana kiasi fulani.

Kama mwanaume lazima uwe na akiba ambayo mkeo haijui.

1. Tunza fedha zako za dharula angalau mil 3 kwenye account ambayo mke wako haijui. Hii ni hela ya dharula tu. Binadamu tumeumbiwa majanga huwezi jui. Hii hela utaichukua tu kama kuna dharula. Iache huko hata ikae miaka 8 si mbaya. Sana sana unaweza ukawa unaiongezea kidogo kidogo.

2. Baada ya kuwa ana account ya dharula. Fikiria investment. Mkeo unaweza kumshirikisha lakini si kumwachia yeye ndo afanye. Wewe ndo ufanye. Usimshirikishe kwenye usimamizi. Jizatiti mwenye.
3. Vyakula nunua mwenyewe. Nebda sokoni nunua weka ndani jaza friji.

Back
Top Bottom