AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mkeo haruhusiwi kujua kenge wewe akijua you're finished, yeye atasubiri tu umlazie million kadhaa mezani afanyie matumizi na ole wako siku umuwekee elfu 50 badala ya zile million ulizokua ukimpa you're finished againIt will be just a matter of time. Mke smart anaweza jua income yako hata ufiche vipi. Issue siyo mkeo kujua kipato au fedha ulizonazo. Suala ni je mkeo ana busara? Mkeo kuwa kimeo ndo mzizi wa tatizo. Na kama unaogopa mkeo kujua kipato chako kiasi hicho basi mpe talaka tu.
Usimpende mkeo kiasi hicho, wewe ndo kiongozi wa familiaMimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.
Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.
Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
Siwa wanawake wote wasio na elimu ya kufatilia mishahara ya waume zao. Hapo zinahitajika busara za mwanamke tu, na upendo wa kufanya Mambo yenye kuleta tija.Hii ndio ile nilisema kua "Mke kujua kipato chako ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui"
Mkeo alisha kusoma udhaifu wako toka mwanzo,hukusimama kama kiongozi wa familia,japo bado unayo nafasi ila inaonekana too late.
Seran
Hupaswi kumwambia mkeo kiasi halisi cha mshahara wako, mtajie hata ¼ ya mshahara wako ila usimwambie full mimi nakula kiasi hiki kwa mwezi, umeisha ask us and we will tell youSiwa wanawake wote wasio na elimu ya kufatilia mishahara ya waume zao. Hapo zinahitajika busara za mwanamke tu, na upendo wa kufanya Mambo yenye kuleta tija.
Tukisema sisi watu humu wanakuja km mbogo wanaanza kutuita mafala na kutuona mafala, haya semeni nyinyi labda watawasikiliza angalauMkeo Hana wazo la biashara fungua wewe weka watu dhibiti mauzo ya hiyo biashara.
Tatizo ni yeye alitakiwa achague mke mfanyabiashara sasa anataka mke awe mfanyabiasharaTukisema sisi watu humu wanakuja km mbogo wanaanza kutuita mafala na kutuona mafala, haya semeni nyinyi labda watawasikiliza angalau
Ndio tatizo la kuoa kwa kigezo cha Makalio Makubwa, but not big deal atajua mwenyewe jinsi ya kumshepu mkewe all in all yeye ndie rubani wa hio Ndege na nahodha wa hio Meli sasa atajua anamwambia vipi abiria wake afunge mkanda na abiri agome kufanya hivyo ina maana abiria hana hofu na usalama wakeTatizo ni yeye alitakiwa achague mke mfanyabiashara sasa anataka mke awe mfanyabiashara
Ni kweli sio wanawake wote,wapo Wanawake wenye akili ya maisha.Siwa wanawake wote wasio na elimu ya kufatilia mishahara ya waume zao. Hapo zinahitajika busara za mwanamke tu, na upendo wa kufanya Mambo yenye kuleta tija.
Tafuta kisa cha Achraf Hakimi mchezaji wa Morocco na PSG na Mkewe.It will be just a matter of time. Mke smart anaweza jua income yako hata ufiche vipi. Issue siyo mkeo kujua kipato au fedha ulizonazo. Suala ni je mkeo ana busara? Mkeo kuwa kimeo ndo mzizi wa tatizo. Na kama unaogopa mkeo kujua kipato chako kiasi hicho basi mpe talaka tu.
your age mateMimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo.
Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi yeye huo muda hana, hata kuweka chakula ndani hataki anataka pesa kila siku umuekee mezani.
Hana wazo la biashara, hata ukimpa wazo unataka kufanya kitu flani kwa ajili kuongeza kipato ataitika halafu ataishia hapo wakati mwingine hajali kabisa.
Mkuu unapenda sana kuapply hii case ya hakimi kwenye issue kama hizi hata huangalii mtu ana mali gani🤌🏾Tafuta kisa cha Achraf Hakimi mchezaji wa Morocco na PSG na Mkewe.
Mtu gani huyo nimuangalie ana mali gani?Mkuu unapenda sana kuapply hii case ya hakimi kwenye issue kama hizi hata huangalii mtu ana mali gani🤌🏾
Uko sahihi ila issue ya hakimi hai-apply kwenye kila case za namna hii😅Mtu gani huyo nimuangalie ana mali gani?
Mali hua na thamani kwa muhusika mwenyewe,
Mfano kuna mtu ataona Gari lake ni mali na mwingine ataona Pikipiki yake ni mali,
Thamani ya mali haina formula bali huthaminiwa na muhusika mwenyewe au mmiliki mwenyewe,
Elfu 10 inaweza ikawa sio mali kwa mwingine ila ikawa ni mali kwa mtu mwingine.