Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

Uko sahihi ila issue ya hakimi hai-apply kwenye kila case za namna hii😅
Ina apply vizuri sana,kuna Wanaume wamefilisiwa na wanawake na kuishia kuishi kwa depression,

Mtu unatafuta mali zako kwa jasho na damu,halafu anakuja mtu from nowhere anayeiwa Mke,eti mgawane mali 50/50 this is insane,

Mwanaume lazima uwe na mali ambazo mkeo hazijui,hata ikitokea kugawana 50/50 unakua unapo pakuanzia,andikisha mali zingine kwa jina la Mama yako au ndugu zako,

Issue ya Hakimi imewafungua macho wengi sana,Hata muimbaji Acon ameitumia kwenye kesi na mkewe,

Huu ni muda wa Wanaume kuamka na kujali mali zao,trust no one.
 
Hmm kuna kaukweli lakini😅
Kwahiyo, kwa upana unamshauri mtoa mada hapa afanyenini?
 
Hmm kuna kaukweli lakini😅
Kwahiyo, kwa upana unamshauri mtoa mada hapa afanyenini?
Sina cha kumshauri mleta mada coz inaonekana toka mwanzo hakusimama kama mwanaume ndani ya Nyumba,

Mwanaume lazima uwe umetengeneza misingi,kanuni,taratibu na sheria ndani ya familia yako coz wewe ndio kiongozi ndani ya hiyo territory ambayo wewe ndio King,

It's too late kwa mleta mada kurudisha nidhamu na mamlaka yake ya kuiongoza familia yake kwa sasa.
 
Duhhh!! Ana hatari sana kijana..
 
Mkeo inatakiwa asijue kama leo umepata au hujapata kingine anza kununua mahitqji ya mwezi au week 2
 
Usiwe unamwambia kiasi cha pesa ulichoingiza.

Fanya maendeleo kimya kimya utamjuza yakikamilika.
 
Fukuza hakuna mke hapo.usikubali kupelekeshwa na mwanamke.mimi binafsi naumia sana Nchi YETU kuongozwa na lijimama
 
Hilo suala la kutomjulisha mkeo kipato chako chote usilidharau mkuu.
Ipo siku utalielewa.
 
Hilo suala la kutomjulisha mkeo kipato chako chore usilidharau mkuu.
Ipo siku utalielewa.

Nimejibu kiujumla tu mkuu. Natambua vizuri sana tu kwamba kuna mazingira maalum ambapo kutokumjulisha mweza wako salio/kipato chako unaweza kuwa ni uamuzi wa busara pia. In fact napitia hii hali sasahivi. Kuna mitego ya kifedha ambayo nimeacha kumshirikisha my spouse kwasababu ninaamini hana upeo wa kuielewa na kwa kumfahamu najua nikimshirikisha naweza bomoa badala ya kujenga.

But, still, ninaamini kwamba ukiwa na wife amejaaliwa akili na busara kumshirikisha finances zako kuna faida kuliko hasara. Pia ninaamini ni kosa kumchukulia wife yeyote kuwa hafai kushirikishwa vipato vyako. Isitoshe ninasimamia ukweli kwamba kuna baadhi ya vipato havifichiki. Mwanamke smart atavijua tu. And, yes, I believe that many women are smart and some are even smarter than we men.
 
Kuna mitego ya kifedha ambayo nimeacha kumshirikisha my spouse kwasababu ninaamini hana upeo wa kuielewa na kwa kumfahamu najua nikimshirikisha naweza bomoa badala ya kujenga.
Hapa 100% tumeelewana kuhusu hili.
Kuna kunakutofautiana malengo, maono, uelewa, vipaumbele na uvumilivu au subira.
 
Usimtajie mwanamke kipato chako. Ni majambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…