Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

Sawa mkeo hana bajeti,lakini je hili ni suala la kulileta hapa?Je mayatizo yoyote ya ndoa hitatuliwaje?Kwani mlioana kwa dini ipi? Au kwa njua gani?Tumia njia zinazofaa kutatua matatizo ya ndoa na kama huwezi njoo inbox mie najitolea kuwasuluhisha
 
Sawa mkeo hana bajeti,lakini je hili ni suala la kulileta hapa?Je mayatizo yoyote ya ndoa hitatuliwaje?Kwani mlioana kwa dini ipi? Au kwa njua gani?Tumia njia zinazofaa kutatua matatizo ya ndoa na kama huwezi njoo inbox mie najitolea kuwasuluhisha
Hawa waliopo kwenye dini na jamii yote kwa ujumla ndio wapo humu.
 
Watu wanaukimbia umasikini wewe unalala nao ndani.
 
Ila haya maisha, enewei
Pole sana
 
Ukipata pesa si lazima kumshirikisha mke wako kwamba kimepatikana kiasi fulani.

Kama mwanaume lazima uwe na akiba ambayo mkeo haijui.

1. Tunza fedha zako za dharula angalau mil 3 kwenye account ambayo mke wako haijui. Hii ni hela ya dharula tu. Binadamu tumeumbiwa majanga huwezi jua. Hii hela utaichukua tu kama kuna dharula. Iache huko hata ikae miaka 8 si mbaya. Sana sana unaweza ukawa unaiongezea kidogo kidogo.

2. Baada ya kuwa ana account ya dharula. Fikiria investment. Mkeo unaweza kumshirikisha lakini si kumwachia yeye ndo afanye. Wewe ndo ufanye. Usimshirikishe kwenye usimamizi. Jizatiti mwenye.
3. Vyakula nunua mwenyewe. Nenda sokoni nunua weka ndani jaza friji.
4. Mkeo mpe hela ya matumizi madogomadogo ya nyumbani, pesa yake ya kusuka na kununua vitu vyake. Umpe angalau kama laki kila wiki.

Mtaishi kwa raha.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…