Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Daaaah! Kwanza nikwambie pole sanaa kwa hiyo changamoto unayoipitia ila kwanza angalia mzani wa mahusiano yenu je, yalikuwa hivyo toka mnafahamiana au tu ni mabadiriko katika safari yenu ya mahusiano? Pia angalia tofauti ya ukiwa mbali ama ukiwa karibu yake ,je kuna utafauti ukilichunguza hilo kwa umakini lazima jibu litakuwa sahihi💘💘 . Lakini kuhusu kujuwa familia imeamkaje, imeshindaje si jukumu la mama au baba pekee yake bali ni jukumu la familia kwa ujumla✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…