Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Ha haaa yaani unapewa ushauri wa kubomoa unaupokea kwa furaha😅😅.
Kakae chini vzr na mkeo myajenge..inaonekana hata haupo romantic unaboa, labda poa una ubabewa ajabu ajabu.
Kaongee vzr na mke wako myajenge.
Nimeshangaaa...ushauri wa humuu mwingi ni wakubomoa nyumba za watuu..akae na mkewe wayajengee Ndoa ya miaka 10 sio jamboo mdogoo... halafuu hilo jambo mbona ni dogoo tuu
 
Yaaan uvunje Ndoa kisa kukusalimia tuu?..au Kuna jinginee? after 10 good years?.. Bro hebu tafakari maamuzi yakoo... Ushauri mwingi wa humu sio wa kuufutaa... Ndoa hazifanani hata kidogoo Kila mtu na staili yakee
 
Nimeshangaaa...ushauri wa humuu mwingi ni wakubomoa nyumba za watuu..akae na mkewe wayajengee Ndoa ya miaka 10 sio jamboo mdogoo... halafuu hilo jambo mbona ni dogoo tuu
Kashindwa kulisove hadi apate ushauri kutoka jf, washauri wenyewe sasa😅😅
 
Kashindwa kulisove hadi apate ushauri kutoka jf, washauri wenyewe sasa😅😅
😅😅.washauri wenyewe wa humu kwao mwanamkee ni kama mshindani waoo 😅😅...basi point yao kubwaa ni " kuachana "yaaan "muache tuu"ushauri wao ni kubomoa na si kujengaaa🙌
 
😅😅.washauri wenyewe wa humu kwao mwanamkee ni kama mshindani waoo 😅😅...basi point yao kubwaa ni " kuachana "yaaan "muache tuu"ushauri wao ni kubomoa na si kujengaaa🙌
😅😅.
Humu jf mke na mume ni maadui.
 
Kumbe kuna mda dish lako linasoma signal vizuri,ni hivi matatizo mengi ya ndoa yanasababishwa na unyumba japo wengi hawaliongelei hili.
Hata mwanamme ukiwa na tabia zingine ila ikiwa unamhudumia vizuri mkeo,kesi hakuna.
 
Ndoa zote hazifanani,ni vile mlivyokubaliana ndio hivyo
 
😅😅.
Humu jf mke na mume ni maadui.
Mume na mke huwa ni maadui siku zote, Tangu mwanzo wa maisha.

Sema huwa kuna ule uongo wa kujifanya mnapendana hasa mkiwa mbele za watu. Mkibaki peke yenu Tom & Jerry Comedy.

Ndoa huwa ina upendo mwaka wa kwanza tu, zaidi ya hapo huwa kuna kuvumiliana sana.
 
Aise mbona kitu kidogo sana hicho mkuu. Bado unashindania salamu na mke wako aise. Amka asubuhi wapigie simu hamjambo toa maelekezo kama yapo endelea na shughuli zako. Mi sijawahi kulalamika kwanini mke wangu haanzi kunisalimia utakua utoto huo
 
Hawa viumbe huna haja ya kulazimisha salamu automatic tu kama mnaishi vizuri Kuna moment anakutafuta mwenyewe mnaongea .sasa salamu ya kazi gani
 
Swali langu kwako, unyumba anakupa kwa mahaba au anatimiza wajibu?
 
Hana hisia na wewe
Sio kila kitu ni mambo ya kihisia.Mtu wameishi miaka 10 bado mnaongelea hisia?? Hao ni ndugu sasa- ni sawasawa na uwe na mtoto yuko mkoa mwingine lkn hakutafuti, wala hakusalimii - ukimuuliza naye atasema ni hisia???Ni wanadamu tu na mabadiliko na mazingira, akili, maisha n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…