Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Mko fresh watu wa Mungu?

Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!

Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
 
Alikupenda mwanzo na akakuonesha mahaba yote

Mwisho wa siku ulimpuuza na haukujali hisia zake

Sasa ameamua kukaa kimya unaumia…

Tafta mahali ulikosea,…

Mwanamke hawez kukaa kimya muda wote huo kwa mwanaume anayemjali na kumpenda, pole sana mpwa..

atakutafta kesho asbh
 
alikupenda mwanzo na akakuonesha mahaba yote

mwisho wa siku ulimpuuza na haukujali hisia zake

sasa ameamua kukaa kimya unaumia…

tafta mahali ulikosea,…
mwanamke hawez kukaa kimya muda wote huo kwa mwanaume anayemjali na kumpenda, pole sana mpwa..

atakutafta kesho asbh
Uchungu mkali
 
[emoji1787][emoji1787] Mie mke wangu ndio ana tabia nisipomcheki analalamika, mie nikiwa safarini ananicheki mpaka kero naona, haijawahi kutokea hajanicheki na asingekuwa ananicheki sio kesi pia kwangu mimi.
 
Back
Top Bottom