Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

Upendo unaenda na vtendo, lkn pia hicho s kipimo unachoweza hisi kuwa wapendwa au kuna niadje.

Lkn pia watu huish kulingana na vle mmezoeshana, kama mmezoeshana kuwasiliana kila dk n lzma ushtushwe. Lkn usimuhukumu mtu moja kwa moja je, ww ulimtafuta akaacha kukupa ushirikiano?!

Kuna wengne n wazto haswa n mpk umtafute, yapasa utambue hilo na ulizoee. Usimuhukumu moja kwa moja yapasa ujiulize na ww ulimtafuta?! Maana na yy pia n mtu( binaadamu)......
 
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi.lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
Wewe penda tu kama unapenda, usingoje kupendwa in return.

Anaesafire ndiye anatakiwa awajulishe kama kafika salama sio yeye atafutwe.
 
Mtume kuna muugiza hapa

Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi.lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
 
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi.lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?

Mna kawaida ya kujuliana hali lakini?
 
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi.lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
Wanawake hawana utu anachotaka ni pesa zako ila kuhusu wewe hawana mda na kama ulioa super star ndio utakoma kuzaliwa.
 
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi.lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
Mwanamke ambaye haoneshi mahaba kwako ni mzigo wa msumari tu😅 anakera mno. Possibly hana upendo na wewe wanawake wakipenda wakogi so caring yani
 
Duh! JF ukija kichwa kichwa, kama ulikua unataka kujiua kwa vidonge unaeza ahirisha ili utafte kamba ujinyonge kabisa.
Hata kama mke wa mtoa mada kapatwa matatizo, sa hv jamaa anawaza kua mkewe analiwa kimasihara.
Anyway ndo maisha, we umepanda ndege ye kapanda mtarimbo.
Usisahau kuleta uzi wa vurugu after kurudi
Kuna kila dalili kuna mwamba anakula asali ya mtoa mada. Mwanamke asiyejali kiasi hiko maana yuko kimaslahi zaidi.
 
kwa wanaume waliooa woote mkae mkijua mke wako sio wako pekee yako weww ndiye unaemiliki yeye kwa mkataba kutoka kanisani au bomani au msikitini tu. ila mapenzi wanakuwa na watu wao wengine hili ulijue na usipanic mwache afanye yake usimchunguze utapata stroke
 
Back
Top Bottom