Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

Huenda hata yeye anakulaumu huko kua hujamjulisha kama umefika salama! Inaonekana mnaishi kwa ushindani wa nani aanze kumuulizia mwenzie!
 
Kama mmezoeshana kutafuta hebu mtafute huenda anatatzo au lah kunakitu hakiko sawa nyumbani pia mambo ni mengi wakati mwingine lkn jifunze kufikiria positive wakt wote juu ya mkeo itakusaidia

[emoji23][emoji23]Ila majibu ya waja wa humu unaweza kujinyonga[emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mpigie huenda ameshanasa huko!!Si unajua teknolojia imekua siku hizi...
 
Back
Top Bottom