Tena unamwambia: "kwa hiyo umekaa kimya unafikiria mimi naishije na watoto? Au unawaza kuwa hela ulioacha bado ipo mpaka leo? "😂😂😂Inategemea na mlivyozoeshana
Wangu hata asafiri week
Namtafuta hela ikiisha
Tena unamwambia: "kwa hiyo umekaa kimya unafikiria mimi naishije na watoto? Au unawaza kuwa hela ulioacha bado ipo mpaka leo? "[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchungu mkalialikupenda mwanzo na akakuonesha mahaba yote
mwisho wa siku ulimpuuza na haukujali hisia zake
sasa ameamua kukaa kimya unaumia…
tafta mahali ulikosea,…
mwanamke hawez kukaa kimya muda wote huo kwa mwanaume anayemjali na kumpenda, pole sana mpwa..
atakutafta kesho asbh