Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

Upendo unaenda na vtendo, lkn pia hicho s kipimo unachoweza hisi kuwa wapendwa au kuna niadje.

Lkn pia watu huish kulingana na vle mmezoeshana, kama mmezoeshana kuwasiliana kila dk n lzma ushtushwe. Lkn usimuhukumu mtu moja kwa moja je, ww ulimtafuta akaacha kukupa ushirikiano?!

Kuna wengne n wazto haswa n mpk umtafute, yapasa utambue hilo na ulizoee. Usimuhukumu moja kwa moja yapasa ujiulize na ww ulimtafuta?! Maana na yy pia n mtu( binaadamu)......
 
Wewe penda tu kama unapenda, usingoje kupendwa in return.

Anaesafire ndiye anatakiwa awajulishe kama kafika salama sio yeye atafutwe.
 
Mtume kuna muugiza hapa

 

Mna kawaida ya kujuliana hali lakini?
 
Hupendwi
 
Wanawake hawana utu anachotaka ni pesa zako ila kuhusu wewe hawana mda na kama ulioa super star ndio utakoma kuzaliwa.
 
Mwanamke ambaye haoneshi mahaba kwako ni mzigo wa msumari tu😅 anakera mno. Possibly hana upendo na wewe wanawake wakipenda wakogi so caring yani
 
Kuna kila dalili kuna mwamba anakula asali ya mtoa mada. Mwanamke asiyejali kiasi hiko maana yuko kimaslahi zaidi.
 
kwa wanaume waliooa woote mkae mkijua mke wako sio wako pekee yako weww ndiye unaemiliki yeye kwa mkataba kutoka kanisani au bomani au msikitini tu. ila mapenzi wanakuwa na watu wao wengine hili ulijue na usipanic mwache afanye yake usimchunguze utapata stroke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…