Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

mmezoea kuongea muda wote?

Mana wengine hadi unakula nini ama ndo maongezi yetu...


Mpigie mwambie nilifika salama..mmeshindaje home? Na unafanya nini hapo saivi?talk abt evrythng
 
Nipe no nimuulize tatizo ni nini kama unapendwa au niaje
 
Kupenda ni jukumu lako ww!
Yeye anapaswa tu kukutii😊
 
Njoo mim nikuulize pole na safar
 
Kama hajakuukiza wewe mwambie kua umefika salama .. ila siku ya kurudi usimwambie kama unarudi wewe msuprise. But uwe na kifua kizito
 
kwani wewe umepiga 😁 😁
 
Kuna kila dalili kuna mwamba anakula asali ya mtoa mada. Mwanamke asiyejali kiasi hiko maana yuko kimaslahi zaidi.
Rafiki usimpanikishe mwenzako bwana , aanze yeye kupiga amuambie alifika salama mengine yatajulikana.
 
Mpigie mkuu omba kuonge na mtoto wako yey acha nae tu Dil na watot tu
Mwache mtu aliyetokea kwenye familia nyingine wee mpigie akupe wanao muongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…