Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?


Lakini muda ukipita sana kuna uwezekano akaanzisha mahusiano mapya na yakajiweka mizizi kiasi kwamba kuja kuamua kurudi kwa jamaa itakuwa ngumu.
 
wewe hujui ke. Hili jamaa limesharogwa na kula zileeee dawa zao nakwambia kiroho papo usiombe kurogewa limbwata la damu.
Hata uwe america utarudi kwa magoti jinsi roho itakavo pwita..
Yaani badala ya kukaa ndegeni wewe utapiga magoti ndegeni mpaka ifike
 
allah!! Kumbe km humtaki ke dawa yake muombe msamaha fake!!

Ili kiburi kipande hapo hapo unamkomoa siyo????
 
Lakini muda ukipita sana kuna uwezekano akaanzisha mahusiano mapya na yakajiweka mizizi kiasi kwamba kuja kuamua kurudi kwa jamaa itakuwa ngumu.
Nikupe Siri moja ndogo sana mwanamke huwa haingii kwenye mahusiano kama mwanaume, mwanamke anasikiliza hisia zake za ndani ili aweze kumkubali na kumpenda mtu ivyo nenda taratibu ukimuachia nafasi ajitafakari jitahidi kumuanyesha umejuta na yeye kwako ni wa dhamani sana
 

Huo sasa uchawi.
 
Usifanye kosa la kuomba msamaha mapema mapema atakupiga kikumbo. Wewe mwache Kwanza, atulie hisia zake zikae sawa na akili yake , kama unaweza uwe Una msalimia Tu Kwa sms au kumtakia uck mwema

Umeshamaliza

Act gentleman wise

Atakupa attention sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…