Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Mwanaume kaza, mwanaune unalialia hivyo!
Na kwa wanawake ukishajililisha hivyo ndo umejiingiza kwenye tanuli. Akirudi tegemea kugongewa afu utaomba msamaha wewe.
 
We unachekesha Mwanamke akiamua kuvumilia udhaifu wa Mwanaume anavumilia na akiamua kuacha hata utumie malaika harudi tukishapenda sehemu nyingine kurudi ni ngumu.
Hii ni nomare😅😅😅
 
We acha usumbufu!

Mwanamke akishakuchoka huwa harudi nyuma hata awe anakupenda vipii! Tatizo letu mnafanyaga mbwembwe wakati hamuwezi kuvumilia upweke! Kashasepa huyo na analiwa vizuri mda huu. We pambana na hali yako tu!
 


Ni sawa kwa upande fulani lakini inategemea na status yake ya mahusiano.
Hiyo itahold tu provided kama alikuwa na mume wake tu .
Iwapo alishakuwa na mtu au watu kabla ya matengano ni rahisi kuendelea nayo kwa ukaribu zaidi.
Au iwapo kama kulikuwa na watu au mtu anamfukuzia na kumuimbisha ni rahisi sasa kujiweka karibu zaidi kimahusiano.
 
Umemfanyaje?.

tunashindwa kushauri
 
Umemkosea nini kaka?mwanamke akichukia si rahisi kurudi nyuma
 
Not very likely.
 
Pole aiseeh.
Most likely hatarudi.
 
Umemkosea nini?

Achana nae mbona wanawake ni wengine tu, piga chini (walisikika wakulungwa wa JF wakiongea)

Hii rate ya wanaume kulalamikia wanawake humu jamvini inazidi kuongezeka kila kukicha.
 

Mwanamke ni mvumilivu mno, lakini akifikia point of no return ni ngumu mno kumshawishi arudishe majeshi.
 
Wanaume kwa sasa wana wakati mgumu sana, ni kupigwa matukio na kupigwa moto.

[emoji23][emoji23] kazi iendelee, naona kibao kimewageukia. Huku utasikia mke wangu kanisaliti, hatujakaa sawa mwingine kadakwa anachoma nyumba ya ex boyfriend. Hatujatulia huku mwingine mke kasepa home basi inakua tafrani tupu.
 
[emoji23][emoji23] kazi iendelee, naona kibao kimewageukia. Huku utasikia mke wangu kanisaliti, hatujakaa sawa mwingine kadakwa anachoma nyumba ya ex boyfriend. Hatujatulia huku mwingine mke kasepa home basi inakua tafrani tupu.
Halafu baadae kuna mtu ataleta thread eti anauliza "kwanini wanaume hutangulia kudanja"
 
Yani wanapi
Braza kama huwezi kushauri kaa kimya. Anyanduliwe na nani,haiwezkani

Mwanamke uliye ishi nae kwa muda wa miaka saba hawezi kukuacha kirahisi hisi hata kama unemkosea vp,kama umetumia mbinu zote kumrudisha imeshindikana wewe jua tu hakua na mapenzi na wewe kabisa!
Siku hizi tunaacha hata tulioishi nao miaka 15.

20 maybe.
Usijiaminishe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…