Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Soma ulichoandika kwanza
Usije kuta umejiandikia tuu sababu una mb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah uko sahihi kabisa basi si kesi! Ngoja nipite kushoto.
 
Fanya kitu kimoja jizuie kabisa kuanzia leo kupanda gari ilo mkitaka kwenda maali tafuta gari kwa rafiki ili uokoe ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya siyo ya kweli
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Hatuandiki ili kutoa siri maana hakuna aliyetajwa au kuanikwa hapo ila tunaandika ili kutoa picha ya maisha ya jinsi hiyo jinsi yalivyo na hata kupeana ABC za jinsi ya kukabiliana nayo. Yawezekana sio Bulichekah tu anayakabili ujue!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua gari lako Mkuu achana na la Mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa mbona unasema kanunua yeye wakati ni kitegauchumi cha familia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
We unamjua mtoa mada personally au unafkir yeye hajui kwamba sio vizuri... Don't be too Judgmental Brother
 
Huyo mke jau sana ila komaa kaka mpaka na wewe ununue lako ndio utapata uhuru unaotaka, sema sasa jitahidi ukipewa gari ya watu uwe unaendesha vizuri 😀
 
mkuu tafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…